Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Hao kaka zako wameshikika kweli kweli, kuna ile kauli mnasemaga kwako hafurukuti umemuweka kiganjani. Ndio type za mawifi zako hizo. Mungu aniepushie mbali aina hiyo ya wanawake maana nitakufa kabla ya siku zangu.
Na akuepushe kweli kweli, mmoja ni wadamu wengine ni kaka zangu wa kidunia. (hawa wakidunia sijawahi wasaidia kitu kikubwa, maana wako vizuri tayari hivyo sina hata mandate ya kuwasimanga)

Things wako nacho in common wote ni vipanga kweli kweli sasa sijui whats wrong with these people! Huyo mwingine anaambiwaga usiwasaidie kwenu ni wachawi watakuloga πŸ˜… wakati mke kwao anapeleka kila msaada! What a manipulator! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hawa kaka zangu wa kidunia siwezi hata kuwashauri maana ni wakubwa sana kwangu, mmoja juzi akanifungukia kila kitu, nilimjibu kuwa Mwenyezi Mungu aendelee kukupa nguvu! πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu niliyezaliwa nae huwa namchana tu simuogopi wala nini!
 
Kuna nguvu ipo inayofanya hayo yote yawezekane nadhani ni miongoni mwa limbwata. Huwa nasema nirogwe kwenye mengineyo ila sio mapenzi maana huwa unafanya kazi haraka na kwa ufanisi mkubwa mno. Kuna ndugu yangu ni mkorofi sana ila kwa mkewe hana kauli atapika, atafua, kazi zote yeye na kugombezwa juu. Mshahara karibia wote anaacha kwa mke, ndugu washamshauri wakachoka lile ni limbwata grade A kabisa.
 

Wew unafanya hivoo?, sometimes ni maisha tuu nadhani hakuna asiyependa kuwa na muonekano kama baba au mama
 
"Oeni zaidi yenu"unamaanisha nini
 
Kwahiyo dada wa watu kule yupo anajitunza umuoe kumbe wewe una mchora si bora nimtolee mimi posa ww usibili
Aisee sijui nifanyeje kwa yule binti tumeivana sana halafu mwenzake sina mpango wa ndoa yeye anajua mwakani February tunafunga ndoa. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Utamuweza?
 
Kutovaa vizuri kwa mume ni udhafu wa mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…