Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Nakaribia kunenepa hapa, miaka 3 ndani ya ndoa[emoji3][emoji3]
.......mwanangu kama bibie kakupa fursa ya kunenepa we nenepa.......mwanamke akikupenda kweli mwanaume lazima utakuwa na muonekano wa kupendeza kiafya, kimwili hata kiakili utaona uko well settled......sisi wanaume ni dhaifu sana Kwa hawa akina mama, tupo tayari kujinyima Ili kuwafurahisha........so ili usiumie lazima upate bibie mwenye hekima na upendo wa kweli, kitu ambacho wengi wetu huwa tunaangukia pua na kuanza kufubaa na kunyauka ndani ya ndoa......
 
Sawa Mkuu
Sikusemi, ila nakusihi msaidie either kumkumbusha au ikiwezekana mnunulie.

Siyo kwamba ulichoandika ni uongo; ila nimewaza pengine umeexprience kwako au kwa jamaa wa karibu. That's why nime suggest hivyo, kwani wahenga wanasema "charity begins from home".

Saa nyingine mnanunuliwa nguo nyingi ili kujaribu kuwapunguzia tamaa za kuchepuka.
 
Sawasawa mkuu
 
Ukwelu mtupu.
 
Dah!.. hatari sana hawa viumbe...hapo jamaa kashatengenezwa kwa mganga..
 
Shukran.
Kuna wakati inabidi tuanze kuhimizana kujipenda maana hawa wake tuliooa hawakupitia unyago basi treni linaserereka kilimani na limekata breki
🤣🤣🤣🤣🙌
 
🤣🤣Achana naye huyo
Hahahah
Lakini hamuweI kuamini nikiwaambia ninaamini kupitia JF nimempata yule wa ndoto zangu.

Hapo ndo linapokuja suala la udhaifu wetu wanaume. Ukishazoea kuchakata kihalali basi huwezi kuishi kisela sela ukafurahi, lazima ukwapue jiko mahala ukalimiliki kabisa😄
 
🤣🤣🤣Kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…