Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Kuna siku mwaka jana tulikuwa na semina ya shirika fulani Songea.
Sasa wakati tunatoka DSM tuliwezeshwa viposho kutoka sehemu zetu za kazi.
Sasa cha ajabu tunafika tu Iringa hapo kuna njemba zikaanza kulia njaa zinaomba kukopa kela.

Kumbe kuna baadhi ya wanaume wenzetu wakipata hela huwa wanakabidhi yote kwa wake zao, kisha wanaanza kuomba upya. Yaani hata akitaka safari kubwa au castle lite ya baridi anaomba upya kwa wife. Mimi nilivyojua hivyo nikakaza hadi tunafika songea.
Nilipotambua hilo aisee nilitamani kulia.
 
Mwanaume unakua na nguo nyingi za kazi gani umekua zuchu?
Mwanaume ni kuwa na suruali tatu na shati nne inatosha unamaliza mwaka mmoja na nusu bila kununua nguo mpya hapo unanunua soksi tu
 
Weka basi picha ya wababa wa hivyo
 
That's not fair kupendeza peke yako ni ubinafsi, kwanza hata utajisikiaje unatoka na mwenzi out hana pamba kali, hanukii vizuri, si hata wewe mwenyewe utachekwa huko, pendezeni wote, usifanye mtoto wa watu akajuta kuoa bure.
 
Mwanaume unakua na nguo nyingi za kazi gani umekua zuchu?
Mwanaume ni kuwa na suruali tatu na shati nne inatosha unamaliza mwaka mmoja na nusu bila kununua nguo mpya hapo unanunua soksi tu
Nguo zile zile hadi ukiwa mbali tunajua tu, yule anayekuja ni fulaniπŸ˜€ sawa
 
Ndo hicho nimemaanisha mkuu
Hapa sasa nimekuelewa.
Unakumbuka suggestion yangu. Kwamba mara nyingi mke anatakiwa kuwa muonaji juu ya hii mada yako. Juwa mwanaume mwenye kujitambua anakuwa na harakati nyingi sana kuhakikisha anakidhi mahitaji ya familia. Hapa ndipo wengine hawaoni umuhimu saaana wa kukimbizana na pamba. Bora tu atimize yanayohitajika zaidi.

MAJUKUMU DADA YANGU, WEE ACHA TU.πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kucheat hakutakusaidia chcht km kuna mapungufu au kuna kitu unaona hakutendei Bora mkae chini na kuyaongea nadhan kilamtu ataelew na furaha itarudi tena
 
Poleni
 
Kucheat hakutakusaidia chcht km kuna mapungufu au kuna kitu unaona hakutendei Bora mkae chini na kuyaongea nadhan kilamtu ataelew na furaha itarudi tena
Kabisa
 
Inahuzunisha sana mkuu... inaumiza sana
 
That's not fair kupendeza peke yako ni ubinafsi, kwanza hata utajisikiaje unatoka na mwenzi out hana pamba kali, hanukii vizuri, si hata wewe mwenyewe utachekwa huko, pendezeni wote, usifanye mtoto wa watu akajuta kuoa bure.
Kabisa cute,Kuna wenzetu wanazingua balaa
 
Mwanaume unakua na nguo nyingi za kazi gani umekua zuchu?
Mwanaume ni kuwa na suruali tatu na shati nne inatosha unamaliza mwaka mmoja na nusu bila kununua nguo mpya hapo unanunua soksi tu
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…