Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Labda kungekua na wanawake wenye pembe ila hawa wabinafsi na wanaolilia haki sawa sahau kukuta anamnunulia mumewe kitu apendeze kwanza wanahisi tukipendeza tutaonekana nje huko cha msingi ni mwanaume kujipendezesha mwenyewe zile 40k za nywele mpe 20k ili inayobaki unanunua hata kashati ka 18k kariakoo alafu maish yanaenda
 
Si ajinunulie mwenyewe nguo jamani kwani kabla ya hapo alikuwa ananunuliwa na nani?

Pesa zake anashindwaje kununua nguo? Nashukuru wa kwangu anajinunulia mwenyewe utashangaa tu kaja na furushi la nguo kajinunulia.

Mwanaume asiyejijali mwenyewe ana matatizo makubwa.
 
Kabisa mkuu....maana la sivyo ok😂🤒
 
Si ajinunulie mwenyewe nguo jamani kwani kabla ya hapo alikuwa ananunuliwa na nani?

Pesa zake anashindwaje kununua nguo? Nashukuru wa kwangu anajinunulia mwenyewe utashangaa tu kaja na furushi la nguo kajinunulia.
Bora huyo humzoi pesa zote
 
Wanaume tunapambana sana. Tunatamani tunaporudi kutoka kwenye mishe muwe mnatupokea kwa tabasamu la bashasha, mtukumbatie, mtufanyie massage ili akili zitulie.
Unataka hayo mambo je ulimtengeneza mkeo ili kuhudumie hivyo maana muda mwingine tutawalaumu wanawake ila kinyago chako kichonge mwenyewe ww ndio unajua furaha yako inahitaji nini itimie
 
Ewaaaaaa
 
Ni miongoni mwa majukumu yao mume anatakiwa alelewe na mke wake ni mtoto mkubwa wa mke mkiwatoa watoto wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…