Lazma ukatae ila walioko kwenye ndoa wanajua. Ninyi mkiisha olewa huwa mnajisahau manahisi kumpeti peti bwana na kumkarim anapotoka kwenye miangaiko ni umalaya.😳Uongoo
Kumbe🤣🤣🤣Lazma ukatae ila walioko kwenye ndoa wanajua. Ninyi mkiisha olewa huwa mnajisahau manahisi kumpeti peti bwana na kumkarim anapotoka kwenye miangaiko ni umalaya.
Chunguza wanandoa wengi huwa wanapokeana kwa kuambiana "umekuja?" Hapo hakuna kumbatio, hakuna kiss za kuondoa uchovu zaid atakutengea maji ya kuoga na chakula , ila nenda kwa mchepuko sasa 😂😂😂😂
Mnavyosema tukiolewa tunajisahau unadhani nyie huwa hamjisahau?Lazma ukatae ila walioko kwenye ndoa wanajua. Ninyi mkiisha olewa huwa mnajisahau manahisi kumpeti peti bwana na kumkarim anapotoka kwenye miangaiko ni umalaya.
Chunguza wanandoa wengi huwa wanapokeana kwa kuambiana "umekuja?" Hapo hakuna kumbatio, hakuna kiss za kuondoa uchovu zaid atakutengea maji ya kuoga na chakula , ila nenda kwa mchepuko sasa 😂😂😂😂
Hela nyingi zipi anabaki nazo huyo huyo alipe ada, atoe kodi ya meza, alipe apartment, akupe ya salon, vicoba, bado haujamletea matatizo ya kwenu na ya familia yakePesa nyingi anazo yeye sasa mimi kwanini nihangaike kumnunulia nguo? Labda nitake tu mwenyewe nikiona nguo nzuri nimchukulie.
Sijui mm nimesema tuKumbe🤣🤣🤣
Sasa mimi natoa wapi pesa ya kumnunulia yeye nguo kama ya kujinunulia nguo zangu na ya salon ananipa yeye?Hela nyingi zipi anabaki nazo huyo huyo alipe ada, atoe kodi ya meza, alipe apartment, akupe ya salon, vicoba, bado haujamletea matatizo ya kwenu na ya familia yake
Wanawake acheni ubinafsi na uchoyo. Wanaume tunateseka sana
Sijakataa kabisa ila umemuandaa yeye kukutimizia hayo je ww unampa furaha jebunatimiza mahitaji nyumbani? Unajua sisi wanaume tunachanganywa na utafutaji muda mwingine tunajisahau unaweza ukaon unaleta hela za msosi na mambo mambo nyumbani ila yapo mengi y akufanya ili ukirudi ukute mambo moto moto kikubwa cha kwanza ni kumueleza nini unapenda na kumuwekea mazingira. Mfano ukitoka kwenye shughuli zako unahitaji ukute umeandaliwa maji uoge upate chai kidogo ufanyiwe masaji ya hapa na pale mkae mkiongea mambo yenu na kamuvi ka kusindikiza chakula kiwe tayari haya mambo yanahitaji kwanza muda pili uwe mtoa taarifa huwez kuta hayo maandalizi kama ww ni mtu wa kufika home kama unafanya uvamizi toa taarifa mke wangu ndio narudi naomba niandalie maji kachai na ujiandae kunimasaji ukifanya hivyo nakuhakikishia ukirudi lazima ukute mambo sawa na pia ukitaka mambo mazuri wekeza kwenye vizuri.Ni miongoni mwa majukumu yao mume anatakiwa alelewe na mke wake ni mtoto mkubwa wa mke mkiwatoa watoto wenu
Unaweza kuona mambo madogo lakini yanafanya ndoa inoge. Hata mimi nitakua na moyo wa kukutoa outing kibunda kikiwepoSawa mkuu
Mambo ajeSawasawa [emoji137]
😂😂😂😂😳Hela nyingi zipi anabaki nazo huyo huyo alipe ada, atoe kodi ya meza, alipe apartment, akupe ya salon, vicoba, bado haujamletea matatizo ya kwenu na ya familia yake
Wanawake acheni ubinafsi na uchoyo. Wanaume tunateseka sana
Au sio mrembo wangu za sikuMambo ni poa
Kwani wewe kwenye mishe zako si unaingiza pesa mnunulie zawadi.Sasa mimi natoa wapi pesa ya kumnunulia yeye nguo kama ya kujinunulia nguo zangu na ya salon ananipa yeye?
Au mimi sijaelewa
Unaongea kwa kulalamika as if mnaonewa. Uliyoyataja hapo yote ni majukumu ya mume sasa unataka nani afanye?Hela nyingi zipi anabaki nazo huyo huyo alipe ada, atoe kodi ya meza, alipe apartment, akupe ya salon, vicoba, bado haujamletea matatizo ya kwenu na ya familia yake
Wanawake acheni ubinafsi na uchoyo. Wanaume tunateseka sana
Wewe unayajua mambo ila aliyemuoa Demi kazi anayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimekuelewa mbona
Ok nice dayNjema kabisa wangu....ndo naenda kazin....nimeona nizurure kidogo jf