Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Hivi hii hali ni kutaka tu wenyewe au kujisahau?

Ni majuzi tu hapa ndo nimegundua nina suruali tatu na shati mbili na tisheti tatu mwaka wa tatu huu.

Dah
Labda tukishaoa tunasahau kuwa na sisi tunapaswa kuishi. Lakini kusaka hela ya kulipia tozo kisha familia ifuate ni mziki unaotafuna akili
Mada ya huyu bidada nimeiona asubuhi hii , kwa sababu ni weekend nimepumzika nikaona hebu nifanye kautafiti kabatini ,wakati wife yupo kanisani na watoto !
Ebana ee robo tatu ya kabati ni nguo zake , almost zote ni mpya na kuna nguo sijamuona kuvaa ,,halafu wiki iliyopita tu tulikuwa na argument anataka kushona magauni ya kitege gani sijui.
Must admit, wanawake ni wabinafsi, kupitiliza ,
 
😂😂😂😂Tulia tulia tafadhali..... tatizo tuna tamaa mkuu
 
Hamuelewekagi bhna nyie nampenda my lovel ila now tunaishi kimazoea sana Dah mpaka natamani kumchit wakat sijawai na sikiwai kuwaza ila mambo yake hakuna ata siku mmoja alio nipa zawadi kila sik mimi natoa kama vile ni mo
Pole sana i say,tafuta njia ya kumjulisha ubinafsi wake without actually telling her "we ni mchoyo wa kutoa babe" lasivyo machungu yako yatazidi huku ye anaona sawa tuu hajui ka inakuuma.
 
Sio poa unaweza kupanda juu ya paa uhakiki na fundi bati zilizotumika kama ni sawa. Huku dogo anadaiwa ada. Wanaume tumeumbwa mateso aisee
Hayo mateso ndo yanatupeleka kaburini mapema sana , tubadilike ,nasi tumwagilie nafsi zetu mara moja moja .
 
Hata hvyo hali hiyo ni kwa wote hata sisi wanaume tuko hvyo ,ingawa sijaona lkn najionea tabia hii hata wanaume wanayo .hapa kuna jilani yangu mkewake mda wote unamkuta kashindia kitenge au khanga hiyo hiyo hata siku 3 unamwona amevaa lkn mmewake kila siku kubdilisha nguo.kwahyo tabii hii inaletwa na sifa ya ubinafisi yani kujipenda kupita kiasi hadi una msahau mwenza wakti vitabu vya dini vinasisitiza mpende mwenza wako kama unavyojipenda ww kwani nyote ni mwili mmoja
 
Mada ya huyu bidada nimeiona asubuhi hii , kwa sababu ni weekend nimepumzika nikaona hebu nifanye kautafiti kabatini ,wakati wife yupo kanisani na watoto !
Ebana ee robo tatu ya kabati ni nguo zake , almost zote ni mpya na kuna nguo sijamuona kuvaa ,,halafu wiki iliyopita tu tulikuwa na argument anataka kushona magauni ya kitege gani sijui.
Must admit, wanawake ni wabinafsi, kupitiliza ,
Imagine nina nguo hazizidi kumi. Lakini kabati la four doors limejaa vitu adimu vyake na vingine havitumii.

Wanawake wameumbwa kupendeza na kutoridhika. Kaazi kweli kweli

Tusijisahau ssna wanaume
 
Imagine nina nguo hazizidi kumi. Lakini kabati la four doors limejaa vitu adimu vyake na vingine havitumii.

Wanawake wameumbwa kupendeza na kutoridhika. Kaazi kweli kweli

Tusijisahau ssna wanaume
Pole sana mkuu
 
Hakuna ambaye hajisacrifice kwaajili ya mwenzake, ni vile tu majukumu ni tofauti.

Nyie mke akijisahau mnaenda kutafuta mwanamke mwingine ila nyie mkijisahau mnataka mke mwema afanye juu chini ili kukuweka sawa.
Woi am tired with you guys.
Una majibu konki[emoji41],point point haikosekani..[emoji106]
 
Back
Top Bottom