Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Shukrani bidadaKaribu sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani bidadaKaribu sana mkuu
Nadhani wamo wengi ijapo kwa uchanga wangu hapa jukwaani nami nimemuona kuwa ni m1 wao.At least Kuna mwanamke mmoja anayejielew hapa,
Asante To yeye
Anastahili sifaNadhani wamo wengi ijapo kwa uchanga wangu hapa jukwaani nami nimemuona kuwa ni m1 wao.
Mada ya huyu bidada nimeiona asubuhi hii , kwa sababu ni weekend nimepumzika nikaona hebu nifanye kautafiti kabatini ,wakati wife yupo kanisani na watoto !Ni majuzi tu hapa ndo nimegundua nina suruali tatu na shati mbili na tisheti tatu mwaka wa tatu huu.
Dah
Labda tukishaoa tunasahau kuwa na sisi tunapaswa kuishi. Lakini kusaka hela ya kulipia tozo kisha familia ifuate ni mziki unaotafuna akili
😂😂😂😂Tulia tulia tafadhali..... tatizo tuna tamaa mkuuMada ya huyu bidada nimeiona asubuhi hii , kwa sababu ni weekend nimepumzika nikaona hebu nifanye kautafiti kabatini ,wakati wife yupo kanisani na watoto !
Ebana ee robo tatu ya kabati ni nguo zake , almost zote ni mpya na kuna nguo sijamuona kuvaa ,,halafu wiki iliyopita tu tulikuwa na argument anataka kushona magauni ya kitege gani sijui.
Must admit, wanawake ni wabinafsi, kupitiliza ,
Pole sana i say,tafuta njia ya kumjulisha ubinafsi wake without actually telling her "we ni mchoyo wa kutoa babe" lasivyo machungu yako yatazidi huku ye anaona sawa tuu hajui ka inakuuma.Hamuelewekagi bhna nyie nampenda my lovel ila now tunaishi kimazoea sana Dah mpaka natamani kumchit wakat sijawai na sikiwai kuwaza ila mambo yake hakuna ata siku mmoja alio nipa zawadi kila sik mimi natoa kama vile ni mo
Hayo mateso ndo yanatupeleka kaburini mapema sana , tubadilike ,nasi tumwagilie nafsi zetu mara moja moja .Sio poa unaweza kupanda juu ya paa uhakiki na fundi bati zilizotumika kama ni sawa. Huku dogo anadaiwa ada. Wanaume tumeumbwa mateso aisee
Ukishakuwa mwanamume akili za kivilana zinasepa
Mwana FA kwenye wimbo wake wa We endelea tu,anasema;Hapo bado hujaoa,ukiwaoa kina To yeye si ndo utavurugika kabisa?
Imagine nina nguo hazizidi kumi. Lakini kabati la four doors limejaa vitu adimu vyake na vingine havitumii.Mada ya huyu bidada nimeiona asubuhi hii , kwa sababu ni weekend nimepumzika nikaona hebu nifanye kautafiti kabatini ,wakati wife yupo kanisani na watoto !
Ebana ee robo tatu ya kabati ni nguo zake , almost zote ni mpya na kuna nguo sijamuona kuvaa ,,halafu wiki iliyopita tu tulikuwa na argument anataka kushona magauni ya kitege gani sijui.
Must admit, wanawake ni wabinafsi, kupitiliza ,
Una majibu konki[emoji41],point point haikosekani..[emoji106]Hakuna ambaye hajisacrifice kwaajili ya mwenzake, ni vile tu majukumu ni tofauti.
Nyie mke akijisahau mnaenda kutafuta mwanamke mwingine ila nyie mkijisahau mnataka mke mwema afanye juu chini ili kukuweka sawa.
Woi am tired with you guys.
YaaniPole sana mkuu