Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

Tusipangiane maisha we Baki na usela wako makete huko sisi watoto wa town usituchagulie misemo
 
Je wale wanaume wanaoongeaa wee halaf anamaliza na neno "period"
 
Huku tunakoenda tutaanza kuambiana "hivi hii imakaaje kwa mwanaume kunya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…