Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Au apige chini?Ale wapi na jiko halijawashwa na jiko lake😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au apige chini?Ale wapi na jiko halijawashwa na jiko lake😂
Hayo unayo yaona wewe ni tabu kwake, kama angekua anayafanya house girl tambua mapenzi ya jamaa yange hamia moja kwa moja kwa huyo msaidizi.Ni umasikini tu unakusumbua. Mke afanye kazi dukani, alee mtoto, apike n.k. ungetafuta house girl nyumbani.
Ama vipi ratiba za kusuka/saloon iwe J2. Siku ambayo hafungui duka.
Halafu akamfokeeEbu ngoja kwanza, ukamulekeza achukue ten la kwenda kusukia ama?
Hiyo tabia kaipalilia mwenyewe, aifyeke asipobadilika apige chini. Huyo mkewe ana ugonjwa wa kutokuyajua na kuyaheshimu majukumu yake kwa kuzingatia muda. Yeye anafanya ilimradi kafanya bila kujali muda.Au apige chini?
SijapendaDuuuh
hahahaaa dah bado wana safari ndefuHalafu akamfokee
Wanawake vichaa mnaowaokota club na social halls! Pambana na hali yako mwamba!Wakuu,,yaani iko hivii,,.wife alikuwa na ratba ya saloon...hii kitu alilazimisha ile mbaya mnooo..,,lakini sikutaka kumkatili nikamuelekeza tu basi atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani...
Mkuu kumsaidia mke siku moja moja sio mbaya.Hiyo tabia kaipalilia mwenyewe, aifyeke asipobadilika apige chini. Huyo mkewe ana ugonjwa wa kutokuyajua na kuyaheshimu majukumu yake kwa kuzingatia muda. Yeye anafanya ilimradi kafanya bila kujali muda.
Kama alivyoanza nae mahusiano alimzoesha chips kavu ndio tatizo lilipoanzia.
Gentleman,Wakuu,,yaani iko hivii,,.wife alikuwa na ratba ya saloon...hii kitu alilazimisha ile mbaya mnooo..,,lakini sikutaka kumkatili nikamuelekeza tu basi atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani...