Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni rahisi kutafsiriwa kama dharau, kuna shida gani akasema waz kuwa hajisikii vizuri??Kama mwanamke kuna muda unachoka hasa kama una majukumu mengi na huna msaidizi.
Aliendelea kubaki salon sababu alijua wewe ni baba utajiongeza kwa mtoto wenu.
Labda alimjibu kwa kumshangaa mume wake ambaye huenda anajua situation zilivyo. Na story ni upande mmoja mtu hawez fanya aonekane yeye mbayaHii ni rahisi kutafsiriwa kama dharau, kuna shida gani akasema waz kuwa hajisikii vizuri??
Sisi tujadili kwa upande huo huo mmoja maana ndio tuliopewa 😂Labda alimjibu kwa kumshangaa mume wake ambaye huenda anajua situation zilivyo. Na story ni upande mmoja mtu hawez fanya aonekane yeye mbaya
'Ndivyo hivyo sasa' ni neno la kufunga mjadala kumaanisha yashatokea hauwezi kuyarudisha nyuma.Wakuu, iko hivi:
Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini ahakikishe anawahi kufunga ili ratiba zingine za nyumbani zisiharibike, maana anapenda sana kupika usiku, na nimeshamkataza mara nyingi kwa kuwa muda huo mtoto anakuwa amechoka na ana njaa. Tulikubaliana hivyo.
Natoka zangu kijiweni saa nne hivi na kufika nyumbani, lakini namkosa mtu yeyote. Nikampigia kujua tatizo ni nini, kwa nini bado yuko saloon ilhali mtoto ni mdogo na kuna mbu?
Akanieleza kuwa alikuta foleni. Nikamjibu, "Kama ulikuta foleni, kulikuwa na ulazima gani wa kusubiri, wakati kesho nayo ni siku na hiyo si kitu cha lazima?"
Akanijibu, "Ndio hivyo sasa..." Wakuu, nilitaka nimfuate saloon nimzibue makofi, lakini akili ikaniambia nimchukue mtoto twende tukale chipsi. Huko nako kukawa na foleni, muda ukaenda hadi saa tano na mtoto hajala.
Kwa jibu lake hilo, nimepata tafsiri kwamba sasa ananiachia nione ninachofaa kufanya. Leo nimepanga, ikifika saa tano na anaanza kuwasha jiko, mimi nitalizima. Hapa hakuna kupika usiku huu; hii tabia lazima iishe. Mtu anakuwa na muda mwingi wa kujivuta, mpaka asukumwe ndio afanye kitu. Anapofungua duka saa moja, badala ya kuwahi, utaona anaanza na nguo chafu huku biashara haijaendelea. Huyu dawa yake inachemka, tuone kama atapata hata hela ya vocha. Nimepanga nimtafute chalii kutoka mkoa, anunue kitololi ili niwe nawasambazia maji mwenyewe huku nikikomaa na boda.
Maana yake alishaamua na huna cha kufanya. Yaani akifikia hapo humo ndani ninyi wote ni wanaume.Wakuu, iko hivi:

Wewe tukija kukukamata lazima utaanzisha uzi humu...Pole bro, kwahiyo sahivi uko wapi? Ushakula?
Kwahyo bora mimi mumewe aniache njaa are seriousSielewagi mwanamke anaenuacha mtoto is ake na njaa
Bora umuache mwanaume na njaa
Kwanini hajali mtoto wake wa kumzaa
Alitakiwa ajipange kiratiba
Yaani haijalishi situation ya namna gani mtoto anatakiwa ale kwa wakati huko ni kumyanyasa mtoto
Uko wapi nije uniarrestWewe tukija kukukamata lazima utaanzisha uzi humu...
Just wait tuu dawa yako inachemka 😂😂😂
Ukilala njaa kwa ajili ya mwanamke mjingaKwahyo bora mimi mumewe aniache njaa are serious
Mi nasemaga utani utani hv hv ila kuulizw mwenzako sema sijui kama yupo humu..Uko wapi nije uniarrest