Hivi hii kauli ya "ndio hivyo sasa" ina maana gani ukijibiwa na mke wako

Naunukuu wimbo wa CCM
"ulimtaka mwenyewe ndundu🎶
Ukampenda menywe ndundu🎶
Wacha usome Namba eehh🎶
Matukio mbele kwa mbelex2🎶🤣utani

Mkuu kimsingi pangilia vizuri ratiba yenu. Ikiwezakana tafuta kijana mwenye uafadhali(maana huwezi Pata mtu muaminifu totally) akusaidie hapo kwenye biashara yako

Mwanamama akae home
 
Anachoka. Mume ajiongeze.
Kazi za nyumbani + mtoto mdogo + biashara + mume ahudumiwe kikamilifu!
Ndo maana anajivuta vuta ili vingine avikwepe
Hata kama ni kujivuta sio kwa namna hiyo anayofanya yeye, jivute kwa mume ila mtoto apate huduma kwa wakati. Saa 5 usiku ndio jiko linawashwa aanze kupika huyo mtoto si anakula kwa shida sana.
 
Ni umasikini tu unakusumbua. Mke afanye kazi dukani, alee mtoto, apike n.k. ungetafuta house girl nyumbani.
Hiv ulikua na maana gani au unapata nini kufabya personal attacks namna hii. UMASIKINI, jnamjua mwana hapo au una ego tu??
Suala la umasikini wa mtu au ukwasi linahusika vipi hapa? Yeye anaongelea order wewe unaleta finances how?
Hujui ni tamamduni za wengime kutotaka kabisa wasaidizi wa ndani???
Ama vipi ratiba za kusuka/saloon iwe J2. Siku ambayo hafungui duka.
Kwan ungeandika hiki tu kitu ambacho ni very constructibe, ungepungukiwa na nini?
 
Bado hamjajuana mkuu yaan wote watoto
Ahahahaha.
Usiseme hivyo mkuu. Hapo ndio kumjua.
Kuna mambo huwa tunayapuuzia sana mwanzo na kuyachukulia kama madogo tu ila kumbe ndio yanaonyesha undani wa mtu alioificha.
Huu ndo wakat wa kufanya uamuzi na mgumu mapema kabla hamjafikia kuzaa watoto wengi na kujenga au kuwa na mirad mingi ya pamoja kitu ambacho kitawafanya iwe ngum sana baadae mshkaji kuchukua hatua pindi hali ya adabu ya mwenza wake itakapo kuwa fully projected..
 
Ameanza lini hiyo tabia?. Kama hakuwa nayo kabla,je,wewe umesababishaje kuibuka kwa tabia hiyo mpya ya mkeo?.
 
huyo demu ameshaanza kukuzalau, na ukiendelea kumbebisha siku atakuwa analiwa na anakudanganya yupo kwenye foreni saluni
Kuna mtu anaelekea kumtafuna huyo demu siku si nyingi na huyo mtu amemzidi maisha mwamba😁 kiufupi kashakubaliwa inatafutwa timming tu ya wao kuonana wakapigane "Engonga de Baltazar".

Kuna uwezekano hata hizo nywele anasuka kwa ajili ya huo mtoko wa kwenda kuliwa na muhuni huyo.
 
Kwa umri wa wanangu kwa sasa inatakiwa saa 2 wawe wamekula chakula cha usiku.

Haijalishi kuna nini kimetokea
 
Mkuu kumsaidia mke siku moja moja sio mbaya.
Ni sahihi na ni jambo jema kabisa.
Mpe room bas ya mtu kufanya hivyo bila kum destruct mindset yake.

Kwan hiyo folen salon si aliiona?
Hiv kulikua na ugumu gani wa yeye kuchukua simu na kum text au hata kupiga na kueleza hii scenario kuwa hali sio nitachelewa naomba uji sort hapo home???.huoi kama ingempa uhuru wa ywye kuendelea kwa amani huko aliko hata kama sio salon na pia kumfanya jamaa pia atulie asifike huku?

Shida ni mazoea mabaya na kuchukuliana poa poa ndio hupelekea watu kufika huku.

Kuna ukwel mmoja tu kuhuau mwanaume "MWANAUME YEYOTE YULE HATA MTOTO MDOGO HAPENDI KUONYESHWA DHARAU"
Hii huwa inagusa straight ego ya mwanaume na hakuna anayeweza kutulia kwa hili.

Kinyume chake ni kwamba, hata ukitaka kumcheat mwanaume unavyotaka wewe, njia ni rahisi tu, USIMVUNJIE HESHIMA YAKE. YAN MUONYESHE HESHIMA TELE huku nyuma wewe unaendelea na mambo yako , wala hatakuja kugundua na akifanya hivyo basi ni baadae sana kashachelewa.

Mwanaume humuamin na hamfuatilii kwa mashaka mwanamke wake aliyeweka adabu mbele hata kama ni adabu ya maigizo tu.
Japo maigizo huwa tunayashtukiaga
 
Naona hamkujiandaa kuwa na familia
 
Anachoka. Mume ajiongeze.
Kazi za nyumbani + mtoto mdogo + biashara + mume ahudumiwe kikamilifu!
Ndo maana anajivuta vuta ili vingine avikwepe
Sasa kukwepa jambo unakua hutatui , liwekee utaratibu.
Kwan unaishibna simba ? Huyo ni binadamu mwenzako ana feel kama wewe unapohisi kuchoka. Sasa ukimueleza kwa upendo na amani atakuelewa tu. Kwamba bwana naomba unisaidie nimechoka leo , it is understandable. Tatizo linakuja communicatinf issues between you two..usikae kimya kwa kuamini mwenzio ataelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…