Hivi hii kauli ya "ndio hivyo sasa" ina maana gani ukijibiwa na mke wako

Kama mwanamke kuna muda unachoka hasa kama una majukumu mengi na huna msaidizi.
Aliendelea kubaki salon sababu alijua wewe ni baba utajiongeza kwa mtoto wenu.
 
Kama mwanamke kuna muda unachoka hasa kama una majukumu mengi na huna msaidizi.
Aliendelea kubaki salon sababu alijua wewe ni baba utajiongeza kwa mtoto wenu.
Hii ni rahisi kutafsiriwa kama dharau, kuna shida gani akasema waz kuwa hajisikii vizuri??
 
Labda alimjibu kwa kumshangaa mume wake ambaye huenda anajua situation zilivyo. Na story ni upande mmoja mtu hawez fanya aonekane yeye mbaya
Sisi tujadili kwa upande huo huo mmoja maana ndio tuliopewa πŸ˜‚
Hapa kwenye kumshangaa kwa kujua situation nyie wenzetu ndio huwa mnakosea. Communicate issues kuna shida gani tu angem text au ku call kuwa "i will late hapa situation ni 1, 2 3"??
 
huyo mkeo ana kisirani na utoto bado unamsumbua. mpe misimamo yako haraka sana kama baba wa familia, vinginevyo atakutafutia mme mwenzio soon, na hayo mambo yao ya huko saluni utamkosa.
nb. saluni za kike ni chuo kikuu cha umalaya.
 
'Ndivyo hivyo sasa' ni neno la kufunga mjadala kumaanisha yashatokea hauwezi kuyarudisha nyuma.

Halafu mkuu, huoni aibu kuja kusimulia jamvini ratiba za kawaida za maisha ya kila siku ya familia?

Mnashindwaje kusomana na mkeo na kisha kutengeneza ratiba za kuendesha maisha yenu zenye tija?

Na mpaka leo haujui cha kufanya mkeo anapokwenda kinyume na maagizo yako?

Uwe unakuja basi kutuuliza hata mambo mengine ya chumbani kwenu, ili tukushauri cha kufanya.
 
Muwe mnahudhuria semina za familia, ndoa na mahusiano wakuu. Huko makanisani kwenu hakuna hivyo vitu kweli? Tunaweza kudharau lakini ninavyoona baadhi yetu tunakosa basics za namna ya kuishi na wenza wetu, we play try and error kuendesha ndoa.
 
Sielewagi mwanamke anaenuacha mtoto is ake na njaa
Bora umuache mwanaume na njaa

Kwanini hajali mtoto wake wa kumzaa
Alitakiwa ajipange kiratiba
Yaani haijalishi situation ya namna gani mtoto anatakiwa ale kwa wakati huko ni kumyanyasa mtoto
 
Balthazar Engonga

Rudia kutamka mara 4 jina la ukoo la huyo, Ndio hivo Sasa!!
 
Maana yake alishaamua na huna cha kufanya. Yaani akifikia hapo humo ndani ninyi wote ni wanaume.
 
Sielewagi mwanamke anaenuacha mtoto is ake na njaa
Bora umuache mwanaume na njaa

Kwanini hajali mtoto wake wa kumzaa
Alitakiwa ajipange kiratiba
Yaani haijalishi situation ya namna gani mtoto anatakiwa ale kwa wakati huko ni kumyanyasa mtoto
Kwahyo bora mimi mumewe aniache njaa are serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…