Nini chanzo cha tatizo hilo?Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.
Hii ni fedheha kwa nchiKabla ya yote ninapenda michezo,ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii...
Afanye kwa resources zake. Hata hivyo, kitendo hiki ni cha fedheha kwa Waziri na nchi pia.Kwahiyo ukiwa
waziri inchi hii huruhusiwi hata kufanya mambo binafsi?
Na mimi pia aseeAibu naona mimi π₯Ί
Inawezekana Tanzania ndio Chanel ya vichekesho MbinguniKabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.
Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.
View attachment 2653536
Taofa lina wajunga sana Dada, yaani nchi ina wajinga wa kutisha acha kabisaKabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.
Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.
View attachment 2653536
Ni rahisi sana hata mtoto wako mchanga anaweza ongoza hii nchiNi kazi ngumu Sana kuongoza kundi la wajinga
Nani ana thibitisha ametumia hela ya serikali?Afanye kwa resources zake. Hata hivyo, kitendo hiki ni cha fedheha kwa Waziri na nchi pia.
Umrona nchi ipi nyingine ina huo ujinga? Sema tu nchi imejaa vilaza tupu, taifa lina kiwango cha juuu kabisa cha MazezetaKwahiyo ukiwa
waziri inchi hii huruhusiwi hata kufanya mambo binafsi?
Serikali ya ki kitchen partyKabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe...
Watu akili zime filisika π€£Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.
Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.
View attachment 2653536