Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.

Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.

View attachment 2653536
Inawezekana Tanzania ndio Chanel ya vichekesho Mbinguni
 
Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.

Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.

View attachment 2653536
Taofa lina wajunga sana Dada, yaani nchi ina wajinga wa kutisha acha kabisa
 
Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.

Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili.

View attachment 2653536
Watu akili zime filisika 🤣
 
NCHI ikiachiwa watu muwe na goodtime mnalalamika , marehemu magufuli alivyobana Hadi ule msemo maarufu VYUMA VIMEKAZA mkalalamika sometimes umaskini ni mbaya Sana huwezi kuta mtu mwenye michongo Yake ya pesa akalalamika kitu kama icho , inabidi tubadili perception zetu sio kila kitu Cha kulalamika because TOO MUCH COMPLAINS SHOWS WEAKNESS OF SOMEONE
 
Back
Top Bottom