AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Anasema,
Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua
Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua
Haki ya Mungu lile likenge lingeniua
Si angesema ka -anauza ningenunua
Oya Mr. Dj
Nipoze moyo Dj
Ongeza sauti Dj
Nitakutunza Dj
Hii nyimbo kaimba nani wakuu? maana naisikia kwa mbali kweli
Naomba kufahamu jina la mtunzi wa huu wimbo tafadharini sana.