Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

Sasa Kala hela zangu na bado alete usanii?
Mm naona huwa kama inakuwa wanakuwa ego tu
Ukilalamika hivyo atakuuliza kwani alikuomba? Wewe ndio uliyeomba appointment au yeye?

Again, kabla ya kuanza kula hela zako ulikubaliana nae kuwa tukitoka hapa tunaelekea kule?"🤣
 
... Just business and nothing personal at all!
Only about one egg is produced each month by a woman when during the same period a man produces millions of sperms! ... as you can see the egg is much much more expensive and the woman has to choose carefully where her eggs GO!
 
Hata mimi imenikuta sana, asee huwa wanashugulika kisawasawa.
Huyu manzi kila nikipishana nae dizaini km kuna kitu anataka kuniambia ila anasitasita mimi nipita unyoya siku tukibumiana tena hivyo hivyo ananiangalia km kuna kitu anataka kuniambia then imeisha hio mimi najua ana mume na mtoto shida zake sio shida zangu ila siku akifunguka namtafuna vizuri tu kisha aende akamsimulie mumewe
 
Ukilalamika hivyo atakuuliza kwani alikuomba? Wewe ndio uliyeomba appointment au yeye?

Again, kabla ya kuanza kula hela zako ulikubaliana nae kuwa tukitoka hapa tunaelekea kule?"🤣
Kwani hajui?
Hajui kifwatacho kwenye taarifa ya habari?
 
Mkuu huwa wanajishughulisha vibaya sana ukionja utapagawa maana hapo yeye ndo anakuwa ana hisia na wewe
 
Kimsingi hiko kipindi anakuweka waiting room, akimbizane na requests za mabwege wenzako za muda mrefu,wale kwanza ndo wewe uje ule.... kumbuka pia kuna 5 days za OFF (akiwa period) vumilia mkuu zamu yako haiko mbali
 
We just looking for pleasure not baby making
 
Ukishamtoa si unamuita home tu unamaliza mchezo au amegoma kuja😀
 
Kimsingi hiko kipindi anakuweka waiting room, akimbizane na requests za mabwege wenzako za muda mrefu,wale kwanza ndo wewe uje ule.... kumbuka pia kuna 5 days za OFF (akiwa period) vumilia mkuu zamu yako haiko mbali
Mmmh why should that be a tiresome game. All I need is that ting na yeye si anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…