Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

Mbona Kuna mambo fulani hivi tunayofanyiwa tukiyapenda Huwa tunaongoza wenyewe jamani 😛
Nasisitiza tukiyapenda
 
Mkuu ukiona process ni ndefu sana move on ukatafute anayelingana na pace yako.

Kwa sababu everyone has their own standards and boundaries.
 
acheni ku hang out na akina mwajuma wa elfu mbili mbili... your value matters... inaonekana ni mzee wa akina asha wa uswahilini mkuu. ndiyo type zako.
nb: mtazamo
We jamaa umeanza kuleta zako sasa, si mwanzo ww ndo ulisema una date na malaya na haukumla?
 
We jamaa umeanza kuleta zako sasa, si mwanzo ww ndo ulisema una date na malaya na haukumla?
sikusema dating... nilitoka kwenda sehemu wanaita River side ili nika research. it wasnt a dating scene.
 
You just a piss of shit kumbe? Sasa mwanamke gani wa hadhi hiyo atatoka na wewe bure?
bado unahitaji exposure zaidi
Hiyo research ilikua ni nn hasa
mimi nimekulia ndani mno... jamaa zangu nakumbuka walikuwa wajanja wajanja mno wanatoroka wanaenda hizo maeneo mara wanaenda kwenye hizi night clubs nk... so nimekuwa mtu mzima nikaomba wanipe direction ili nikajionee(kutafiti) kama waliyookuwa wanasema ni kweli au si kweli. nikajimkok nikaenda... full armed.
nb
sikulala na yeyote.. it wsnt my plan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…