Hivi hii Tabia ya wanawake (wake zetu) kuacha simu ovyo ni ya wanawake wote ama mimi tu?

Huu ugonjwa nahisi kwao hauna tiba. Yaani nilijua ni mimi tu huku.

Mpaka unabaki kumuuliza hiyo ni simu ya mezani ama?
Hata mimi nilijua kuwa ni mimi tu ndo ana shida hiyo. Sasa huku kazini wengine hawarusiwi kuingia na simu ni baadhi ndo tunarusiwa sasa akikuomba apige simu kwakwe una mpa atapiga mara utamsikia ana lalamika kwa hasira simu haijapokelewa.Shida sana mkuu
 
Mleta uzi wewe ni msukuma? Samahani lakini.
 
ukiona hivyo tambua ya kwamba hana mambo mengi , mwanamke ambaye kila simu ikipigwa anapokea haraka haraka alafu hataki simu yake mtu mngine ashike mara nyingi anakuwa ni kicheche na mara nyingi wanawake wa design hiyo wanakuwa sio watu wakijipodoa sana, kiana flani wanakuwa rafu rafu flani hivi kipa umbele chao ni kuangalia mambo yanayoleta ustawi katika familia lakini ukiona mwanamke kila ukipiga simu anapokea haraka haraka alafu anakuwa mtu wakijipodoa podoa,anatumia tumia baadhi ya kimikali ili avutie na kunukia alafu ni mwanamke wa nyumbani, hiyo ni dalili kwamba huyo ni mdangaji .
 
Sikupingi mkuu
 
bro hiyo ni dunia nzima wanawake ndo walivyo, wanakera sana
 
Siku nikipata mwanamke wa namna hiyo, nikajihakikishia kabisa beyond reasonable doubt kwamba yupo hivyo naturally, nitasaliti kambi kataa ndoa mapema asubuhi hadi yanikute ndo narudi tena
Mkuu kuna vitu vya muhimu unataka uwasiliane na mkeo muda huo na unapiga simu haipokelewi
hujui huwa wanakera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…