Business woman ..
Business Man ...
Their Daily Routine ... Wanaamka Wote saa kumi ..
Baba Anatokea nje anafagia Uwa...
Anamake sure Tanks ziko filled with water..
Mama anaanda Kifungua Kinywa na kufanya usafi ndani..
Vijana wao Wa kiume , Wawili Bado wamelala ,
By saa kumi na mbili kama mama hajamaliza her Chores baba anamwandaa bintie , wakati na yeye akiwa tayari ashajiandaa , anampeleka shuleni ,
Anarudi anamchukua Mom anampeleka Ofisini kwake Kisha yeye Ofisini kwake,
Baba analipia ada watoto wao wawili mama anamlipia bintie yao
...
Kuna mgawanyo mzuri wa majukumu ...
Mom anasali sana , She's a Devoted Christian , Kamvuta Mzee Mpaka Sasa hivi anasali na akimka asubuhi sometimes Anaamsha his boys wasali pamoja before anything ...
Maisha ya ndoa /mahusiano ni kushikana Mikono na kugawana majukumu...