Hivi hili suala la kuhudumia ni la mwanaume tu au hata mwanamke wanapokuwa kwenye mahusiano au ndoa?

Hivi hili suala la kuhudumia ni la mwanaume tu au hata mwanamke wanapokuwa kwenye mahusiano au ndoa?

Kawaulize hao wanaume HESHIMA zao humo kwenye ndoa kama zipo.90% ya hao wanaume umesalimu amri either kwa kumpa mwanamke access na account za benki na mali.

Mwanamke kwa mwanaume yupo kimaslahi na asikudanganye mtu kuwa pesa ya mwanamke inalika kirahisi rahisi.Utavunjiwa heshima mpaka ukome.
Acha uoga bro..

Heshima unayosemea wewe ni Ile ya mfumo dume...
Ubabe ...
Ukorofi ...

AU unamzungumzia heshima gani hapa
 
Hakuna nje wala ndani 50/50 ni failed philosophy its against nature.

Umbeni wanawake wenu ambao watakuwa na mbususu na watakuwa na roho za kiume.Ila kwa hawa wanawake wa asili kaa ukijua ni wabinafsi na chako chake na chakechake.Wanajisikia raha kuhudumiwa.Wanapandwa na hasira wakiwa wanafanya majukumu ya mwanaume( case study SINGO MAZA).

Mijadala kama huu uliouanzisha cant change anything.Mwanamke hata awe tajiri kama Bill Gate au Elon Musk ,awe rais bado nature itamrudia na ataoenda ahudumiwe ndio nafsi yake iridhike.Kaa humo!!!
A woman is a nurturer..

Uchoyo labda kama hajakupenda , hajavutiwa na wewe ..

Au unae tabia za kiwaki...
 
naona upo kwenye position tofauti kabisa ya uelewa wa vitu unapo ongelea hamsini hamsini unamaanisha mali sindiyo hapa tunaongelea kusaidiana kwenye huduma mbalimbali zinapotokea changamoto sasa inamaana ukiumwa na huna hela ya hospital inamaana mkeo hato kuhudumia kwamba ni 50 kwa 50 ?
Kijana acha kutumia logic kwenye MAPENZI/ MAHUSIANO.

WANAWAKE WAKO WIRED DIFFERENT FROM US.NEVER EQUATE THEM NA SISI.

HAO VIUMBE SIO WENZAKO.NA NDIO MAANA NIMEKUPA OPTION KUWA OA GOLIKIPA UTAJIEPUSHA NA MIKWARUZANO YA KUULIZIA ULIZIA MATUMIZI YA KIPATO CHA MKEO.
 
Acha uoga bro..

Heshima unayosemea wewe ni Ile ya mfumo dume...
Ubabe ...
Ukorofi ...

AU unamzungumzia heshima gani hapa
Kama unademu basi huyo demu bado mshamba ila kama unademu alafu hautoi huduma demu wako KIPANDE CHA SABUNI.

Vijana angalieni msije mkaaga mashindano.Kuwa mwanaume hakujawahi kuwa rahisi.
 
Kama unahudumia mchumba wewe ni mwendawazimu​
dogo hebu acha story za vijiweni kuhusu kuhusdumia mchumba kwamba ni jambo baya pengine labda hujui huduma ni nini ? mimi nasaidia mtu yoyote na kumuhudumia yoyote hata asiye mchumba wala mke pale anapohitaji msaada kama unaakili ndogo na uelewi hata huduma ni nini ndio sababu ya kutukana tukana hovyo na sio kosa lako.
 
kama mwanamke zako ni zake lakini zake ni zake hii ni uchoyo labda nikupe mfano mdogo hebu chukulia mnakula kwenye sahani tofauti na mwanamke wako lakini yeye anataka chakula chako alafu chake hali hizi ni akili za wapi.

kwa kifupi kama mwanamke akifanya zako ni zake na zake ni zake unamuowa au kudate nae wa kazi gani hii ndio sababu kuu ya wanaume wengi kuvunja ndoa zao hebu kuwe positive kidogo na ufikirie kwa kina.
Ndiyo hivyo mkuu,we jaribu kuchunguza,Ukipata anaanza kujishirikisha matumizi,ngoja zake uone!
 
Kijana acha kutumia logic kwenye MAPENZI/ MAHUSIANO.

WANAWAKE WAKO WIRED DIFFERENT FROM US.NEVER EQUATE THEM NA SISI.

HAO VIUMBE SIO WENZAKO.NA NDIO MAANA NIMEKUPA OPTION KUWA OA GOLIKIPA UTAJIEPUSHA NA MIKWARUZANO YA KUULIZIA ULIZIA MATUMIZI YA KIPATO CHA MKEO.
sawa sawa inamaana utaowa mwanamke ambaye siku ukiumwa hakusaidii ?
 
sawa sawa inamaana utaowa mwanamke ambaye siku ukiumwa hakusaidii ?
Tafuta pesa hela ya mwanamke ni yamoto dogo😂😂😂

Weka akiba yako pembeni.Mwanaume ni SOLO hunter.Usije ukajiattach kwa mtu yoyote jua wewe umeumbiwa mateso na mateso au changamoto hazitakuisha mpaka kuingia kaburini.

Mwanamke atafanya sehemu yake ila ukitaka kufosi nipe nikupe utawabadilisha sana!!!!
 
Tafuta pesa hela ya mwanamke ni yamoto dogo😂😂😂

Weka akiba yako pembeni.Mwanaume ni SOLO hunter.Usije ukajiattach kwa mtu yoyote jua wewe umeumbiwa mateso na mateso au changamoto hatakuisha mpaka kuingia kaburini.

Mwanamke atafanya sehemu yake ila ukitaka kufosi nipe nikupe utawabadilisha sana!!!!
sawa sawa
 
Mambo yote yapaswa yawe kama pale eden bustanini!!bustani ya Leo ni kitandani kwenye mizagamuo!!je pale Hali ipoje !!?anashughulika mmoja kufikia mshindo!!?au wote mnazungusha viono hadi mafuriko!!?kama wote ni wote na kama ni mmoja basi ni mmoja!!

Chukua hiyo!!
 
inamaana mwanamke kukusaidia unapo umwa ni kuzungusha kiuno ? unaposema kuzungusha kiuno unamaanisha nini ? so negative

kuna uhusiano gani gani kati ya huduma na kuzungusha kiuno ?
 
inamaana mwanamke kukusaidia unapo umwa ni kuzungusha kiono ? unaposema kuzungusha kiuno unamaanisha nini ? so negative

kuna uhusiano gani gani kati ya huduma na kuzungusha kiuno ?
Hujanielewa mkuu!
Vile wanavyofanya wanandoa kitandani ndivyo maisha ya kawaida yanavyopaswa kuwaw!

Neno ndoa ni dhana ya kutendana kwenye uwajibikaji wa pamoja na sio eti huyu hivi huyu vile japo majukumu yanatofautiana lakini ndoa yapaswa kuwa kama timu ya mpira ilivyo !!sio kutegeana Bali uwajibikaji wa pamoja!
 
safi sana hivi ndio tunataka jamii iwe sio vitu negative vya uchoyo na ubinafsi kwa visingizio vya jinsia lazima tuhudumiane huu ndio upendo.
 
dogo hebu acha story za vijiweni kuhusu kuhusdumia mchumba kwamba ni jambo baya pengine labda hujui huduma ni nini ? mimi nasaidia mtu yoyote na kumuhudumia yoyote hata asiye mchumba wala mke pale anapohitaji msaada kama unaakili ndogo na uelewi hata huduma ni nini ndio sababu ya kutukana tukana hovyo na sio kosa lako.
Dogo hapa tunazungumzia mahusiano sio mtu yeyote. Mwanaume kamili haudumii mwanamke ambaye hajafunga naye ndoa ​
 
Back
Top Bottom