Hivi hili suala la kuhudumia ni la mwanaume tu au hata mwanamke wanapokuwa kwenye mahusiano au ndoa?

Hivi hili suala la kuhudumia ni la mwanaume tu au hata mwanamke wanapokuwa kwenye mahusiano au ndoa?

Mengine yanabaki kuwa makubaliano baina ya wanandoa.
kwamba mume na mume mna mshahara wa scale inayolingana halafu kwenye kulipa bill za nyumbani mkubaliane mke atoe au asitoe?

Situation aliyoelezea mtoa mada haina makubaliano, from the first place kila mtu anatakiwa kujua anawajibika. Labda mkubaliane mtachangia vipi lakini kuchangia kama kuchangia lazima wote mchangie.
 
mimi naweza kumuhudumia yoyote yule hata mtu nisie mjua na kumsaidia labda huelewi mada inaongelea nini, inahusu kusaidiana ndio maana ya kuhudumiana sasa unaposema huwezi kumuhudumia mchumba sijui unakuwa unaongea nini ?

hata hivyo sijamaanisha wanawake wasihudumiwe au kusaidiwa bali kuwe na usawa kwa wote kuhusu kumuhudumia mchumba au mtu mwengine yoyote ni jambo lenye maana na hekima kubwa pale anapokuwa na changamoto flani.

kwahiyo ili suala lako hakuna huduma kwa wachumba sijui unakuwa unamaanisha nini yani ?
Sasa mbona umekuja kulalamika, subiri dawa ikuingia
Tatizo sasa hivi tuna generation ya very weak men, ndio maana rate ya wanaume kulalamika imekuwa kubwa kuliko wanawake
 
Suala la usawa wa kijinsia huku Afrika tulilipokea bila kuelewa, matatizo ndio yanaanza kujitokeza. Wanawake wameubiriwa usawa lakini hawakuambia kiuhalisia huo usawa unatakiwa kwenda na wajibu sawa, sasa ajira wanataka na kuhudumiwa wanataka.

Hii kitu niliigundua mapema ndio maana nikaamua kuoa mke mama wa nyumbani. Vijana mkitaka kufurahia ndoa zenu tafuteni hela ya kuweza kubeba jukumu la kuhudumia familia halafu oa mke wa kushinda nyumbani. Achaneni na career women.
 
Ubinafsi ni pale ambapo wote wewe na mke au mchumba wako mnatoka kazini mmechoka, ila mkirudi nyumbani unataka mke ndio aingie jikoni na afanye majukumu ya nyumbani huku wewe ukinyoosha miguu sebuleni, na ubinafsi mwingine ni huu wa kutaka wote msaidiane na mhudumiane ila mwanamke bado akutii na akuheshimu na wewe umtawale
Wote mkiwa wababe nna hiyo hamuishi.
Lazima mmoja awe boss wa mwingine.
Huo ni mfumo, hata kwenye taasisi huwezi kukuta viongozi wawili katika nafasi moja.
 
Zamani nlikuwa najua wadada ni wachoyo wa kutoa papuchi, wadada wengi wa sahivi uchoyo wao hauishii kwenye kutoa papuchi tu

Wadada wengi sahivi ni wachoyo wa msosi, tena msosi ni mkubwa, bites k.v kipande cha andazi tu, mtu anakunyima..na hujawahi mtongoza

Sijui Wana makungwi wao wa mtandaoni wanawafundisha kua inatakiwa wawanyime wanaume vitu , ata sielewi 😁😁🤣 Zesh Anastasia21 Mallerina Light saber To yeye
Me nliambiwa kitu changu ni changu cha mwanaume ni chetu😒
 
Wewe hudumia tu mkuu, unafikiri kwanini mimba amebeba mwanamke miezi 9 na uchungu juu wakati wa kujifungua lakini mtoto anatumia jina la ukoo wako na una maamuzi yote kuhusu mtoto huyo na bado unasubiriwa nyumbani kufanya maamuzi
 
Anaekula kivipi kuna uhusiano wowote kati ya kula na kuhudumiwa kama jibu ni ndio inamaana wewe unajiuza kwake na hampo kwenye mahusiano ya upendo wa kweli bali biashara
Ni biashara kweli kwani uwongonndugu yangu...wee mgegede tuuu na usikose mcheps ndoa utapeli
 
Sijui nani aniambie ni nini kimetokea kwenye hii Generation ya sasa ya kiume, 🥹
Serious kabisa umekaa na kuandika paragraph Tano kutafuta justification ya kuhoji uhalai wa mwanaume kuwa Provider?
 
Wote mkiwa wababe nna hiyo hamuishi.
Lazima mmoja awe boss wa mwingine.
Huo ni mfumo, hata kwenye taasisi huwezi kukuta viongozi wawili katika nafasi moja.
Na kwenye taasisi mara nyingi boss ndio huwa na mshahara mkubwa au ndio huwalipa mishahara subordinates wake, suala siyo ubabe bali kila mtu ajitawale kusiwe na wa kumtawala mwenzie kama ambavyo kila mtu anajitegemea kiuchumi, vivyo hivyo kila mtu ajitegemee kimaamuzi vinginevyo ukitaka kumtawala mwenzio hakikisha unawajibika juu yake
 
Back
Top Bottom