We unafikiri Freemason vilaza kiasi hicho au unafikiri wameanza operation zao 2010 ulivyoanza kutumia Google Na YouTube?Mleta mada unaongelea free Masons hao!Sema wamefanikiwa kuingiza taratibu zao za ibada kwenye makanisa Karibu yoote!Nenda you tube angalia Freemasons rituals,utaona nyimbo kama zinazoimbwa kanisani zikiimbwa na masons.
Hakuna kitu kibaya kama unarithishwa imani halafu na wewe kama zuzu unaikubali bila kuuliza maswali!We unafikiri Freemason vilaza kiasi hicho au unafikiri wameanza operation zao 2010 ulivyoanza kutumia Google Na YouTube?
Wamekuwepo way back kabla hizo dini hazijaja Africa yaan babu yako anaabudu mizimu tu Leo hii unajifanya unawajua
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??
Hebu wacha ushenzi wewe...
Nimewahi kuandika humu dini zinafunga sana akili watu kiasi kwamba they become irrationalNimeuliza ni SDA gani hiyo huyo kenge anainadi zaidi za hiyo niliyotolea sifa zake za msingi..??
Wewe!!!Mkuu unayoongea yote ni ya uongo na yanabebwa na frustration za chuki believe me
Ok! Umesoma sana historia...???? Sijui kama unaifahamu hiyo historia ya Wasabato......SDA wana mafunzo mazuri sana kwenye healthy and nutrition also in bible but nimesoma sana historia and its doctrines napo I ain't convinced
Peleka ushenzi huko kwenye makambi..
Yani unataka kuniambia hicho kikundi kilichoanzishwa na mwanamke Ellen Gould White mke wa Bw James White, tena mkulima wa massachusset mwaka 1863 ndio dini...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wanaopinga utatu Mtakaifu na Ufufuko wa Yesu ndio dini ya kweli...???
Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??
Hebu wacha ushenzi wewe...
Hahaha unajua maana ya cult religion?Ok! Umesoma sana historia...???? Sijui kama unaifahamu hiyo historia ya Wasabato......
Labda tu nikuambie kama hujui Hao SDA Walikuwa katika kundi moja la cults religion on earth
The four Cult xtian religion
1. SDA
2. Mormon
3. Jehova Witness
4. Xtian Scientology
Wewe!Kuwa makini kwenye internet hayo madhehebu yanapigwa vita sana hasa na RC na walokole kukuta internet yamekuwa labelled as cults ni kawaida tu
Vitabu gani.....Rudi vitabuni kaka ndo upate knowledge.
Sidhani kama ulikuwa na habari kuwa Joseph Smith alijiengua SDA na kwenda kuanzisha Jehova Witness..Tena I didn't talk about Jehovah witnesses honestly when you use the bible as the reference only you are never going to win an argument with them
Biblia gani...?? Biblia yenyewe ni mali na ubunifu wa hao Wakatoliki.....yani wao ndio walio-compile hiyo biblia inayotumia wewe..Problem LA RC doctrines ni kwamba most sio biblical if you know what I mean
Biblia ni sehemu ndogo sana kwa mkatoliki kwakuwa mna source zenu nyingi mnazoona ni bora kuliko biblia
Umeqoute koment yangu bila kujibu hata swali moja zaidi ya kuandika mambo yako yasiyo na ushahidi.Nawapenda sana nyie watu mnao aminishwa vitu bila kufanya utafiti na ndio vitu vina iangamiza africa sababu hatutafiti...ALLAH ni jina Mungu ila kuna mtu akiandika kitabu chenye story hizo ambacho mnafundishwa sunday achool au makanisani naijua story yote yule jamaa alivyoi twist sababu anajua huwa mnawaamin sana bila kufanya tafati na lengo muendee kupotea nakupa elimu.!
Baada ya warumi na baadae walatin kuiteka iman ya ukrist jambo la kwanza ilikuwa ni kuitoa iman katika majina yake ya asili lugha aliyokuwa anaizungumza Yesu ni kiibreania sio kingereza lugha ya kiibrania na lugha ya kiarabu zinatofautiana kidogo katika matamshi hata kwenye majina ntakupa mfano
Yosef kwa kiibrania kiarabu anaitwa Yusuf walatin kwaita Joseph, Ibrahim kiarabu, Abraham kiibreania,yacobo kiibrania, Yacubu kiarabu walatin wakaita Jacob,Yohana kiibrenia Yahaya kiarabu wazungu wakaita John,Isso kiibrania,Issa kiarabu wazugu wakamuita Jesus...ukitaka elimu ya kwanini walikuwa wanatumia herufi J ni siku nyingine ila hiyo ndio siri ya kubadiki majina ya asili ya watu kupoteza uhalisia..
Sasa tukija kwenye swala la ALLAH ni jina la mwenyeziMungu kwa kiarabu na kwa kiebrania anaitwa ELLAH...had leo ndivyo inavyotamkwa na hata sehem ndogo ya lugha ya asili aliyokuwa anaiungumza Yesu kwa mujibu wa bible yesu alipokuwa msalabani alilia kwa kuita jina ELLAH,ELLAH hayo mengine spelling zake zijazishika na hata ukienda kuangakia bible ya kiarabu au yenye tafsiri ya kiarabu ndio jina wanalotumia kwa kutaja Mungu kwa kuita ALLAH...Yes maisha yake yote alitumia jina ELLAH sio God..kwanA halijui.!
Nilitaka kujua wewe ni nani hasa....maana hapa ulitaka kukana kikundi chako cha SDA kijanja...ila baada ya kuutupa mshale hewani nimesikia sauti...Niliona unasema wasabato (SDA) hawaamini utatu mtakatifu sio kweli kaka
Misingi ya u SDA IPO 29 kaisome vizuri hili huwa wanapakaziwa as part ya propaganda.
Sasa nakurudia tena kwenye hii post yako...SDA wana mafunzo mazuri sana kwenye healthy and nutrition also in bible but nimesoma sana historia and its doctrines napo I ain't convinced
Ewaaa!!! Sasa kumbe Fundamental Doctrines za SDA ni 29 na Sio 28 tena.....maana yake zinaendelea kuongezwa......Misingi ya u SDA IPO 29 kaisome vizuri hili huwa wanapakaziwa as part ya propaganda.
wasabato wanaamini utatu mtakatifu na IPO katika top ten ya misingi yao so msiwapakazie uongo kutetea weakness zenu nyingi