Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

When your god and savior looks like your master and enslaver, you become the principal agent in your destruction-Dr. Yosef Ben- Jochannan
so this white boy is your god?!!!! africans break my heart!!
 
Kule Rwanda kagame kaanza kuwarekebisha na hizi dini zisizoeleweka
 
Dini ni wewe mwenyewe mkuu, haijalishi unasali wapi kanisani au msikitini
 
Ndio maana Biblia haienzi dini yoyote bali Njia Ile ya Uzima yaani Wokovu katika Yesu Kristo.
 
Kwa hakika Dini zinatia kinyaa sana, Najua Mungu upo tena kwa Hakika haya yanayoendelea unayaona, sitaki kumhukumu yeyote kwa msimamo wake lakini nipunguzie kovu kwenye moyo wangu, Nikitumia akili ya kawaida ulionipa naona kama nateseka nikiona yanayoendelea huko Duniani.
Najua upo na Dini ya kweli ipo kwa hakika, tufumbue macho tuifuate hio tusizifuate njia za watu flani wanaotaka kutukandamiza tu.
Asante
 
Kuuliza si ujinga ila hii hailalishi kuuliza maswali ya Kijinga. Dini zote ni za kweli kwa wanaoamini na si za kweli kwa wasioziamini. Kuamini ni kitu subjective. Imani ipo ndani ya Utashi wa Mtu. Kutafuta au kuuliza dini gani ya kweli au si ya kweli ni jambo la Kipuuzi sana.


 
Otorong'ong'o
Aah mzee wa... Comedy and misspelled ungekosekana hapa kutokana na kuwepo kwa watesi wako SDA ningeshangaa sana.
 
Hivi umewahi kujiuliza kuna umuhimu wa kuwa muumini wa dini. Kama jibu ni NDIO je dini unayoifata ni sahihi, au ni kwa kuwa umerithi tu.

Kama jibu ndio, eleza sifa za dini sahihi. Najua huwezi kujibu swali hili hivyo;-

Sifa za dini ya sahihi ni;
▪ Jina la dini hiyo litoke kwa Mwenyezimungu kupitia vitabu ya mungu. Isitokane na jina la mtu, eneo, siku, au lisiwe ni maamuzi ya mtu au jopo la watu.

▪ Sifa ya pili ya dini sahihi ni ile inayokidhi mahitaji ya asili ya binadamu wakati wote. Kama kuoa, kusoma, kuvaa.

▪Dini sahihi ni ile uliyofundishwa na manabii wote.

▪ Isiwe kwa ajili ya unyonyaji na kukandamiza.

▪isiwe ya ubaguzi na mateso.

▪isiwe ya kibubusa yaani isikunyime uhuru wa mawazo na dhamiri.

▪dini sahihi ni ile inayolinda haki ya mtu binafsi, utu na heshima ya mwanadamu.
 
Ayo uliyotaja ni madhehebu sio dini.Ata ivyo swala la dini ata wewe unaweza kujiuliza mwenyewe kichwani kwako.Iangalie dunia alafu waangalie na binadamu tulivyo na akili tofauti tofauti.sasa katika hali kama iyo utetegemeaje mambo yaliyosafi na matakatifu.Ndo maana unaona hizo dini zipo na bado dunia sio eneo salama lakuishi.Kuna kila aina ya uchafu ila pamoja na ayo bado watu wema wa Mungu wapo.sasa kazi kwako.kuchagua kua mwema au kuchagua uovu kwasababu tu unaona dini zina mambo ya ajabu.Tafakari.
 
ukweli mchungu Mungu hana mtoto hakuzaa wala hakuzaliwa hana mwanzo wake wala mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…