Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Mungu yupo, Usiangalie walioshindwa angalia waliokatika ukristo na wapo wamesimama miguu miwili
 
Hilo siyo swala la kidini bali ni kama kuonesha hisia zao kwa serikali kuhusiana na sera ya umiliki silaha kule Marekani.

Sijaona kosa hapo, haina tofauti sana na maandamano ya kule DRC yaliyoasisiwa na kanisa Catholic
 
Unabii ni lazima utimie, ni sehemu gani kwenye Quran iliyotabiri ya kuwa kutaondokea manabii wa uongo na yanatimia??
 
Dini ya kweli pesa tu kwani kila mtu anaiabudu.
 
Ni kweli pia mleta mada anatumiwa na shetani ila mwenyewe hajijui tu
 
shetani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya Mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya Mungu.

[emoji115] [emoji115] [emoji115]

True 100%
 
Zaidi ya Mashahidi ya Yehova, dini zingine ni upuuzi tu.
 
tuna imani, dini, na madhehebu. kipi tunatafuta binadamu??? upendo pekee ndio msingi mengine yote ni Maua tu juu ya kaburi. hayamfufui marehemu.
 
Mleta mada unaongelea free Masons hao!Sema wamefanikiwa kuingiza taratibu zao za ibada kwenye makanisa Karibu yoote!Nenda you tube angalia Freemasons rituals,utaona nyimbo kama zinazoimbwa kanisani zikiimbwa na masons.
 
tuna imani, dini, na madhehebu. kipi tunatafuta binadamu??? upendo pekee ndio msingi mengine yote ni Maua tu juu ya kaburi. hayamfufui marehemu.
kabisa kabisa, tatizo letu binadamu, hasa Watz, tunatumia imani zetu, dhehebu zetu na ibada zetu kunyanyasana, kuiba, chuma ulete na mifarakano isiyo na mwanzo wala mwisho..
wanadai maugomvi karibu yote Duniani yanasababishwa na imani na dini zetu..
 
shetani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya Mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya Mungu.

[emoji115] [emoji115] [emoji115]

True 100%

Wanataka sadaka za kondoo hahhahahahahhhahaah
 
tuna imani, dini, na madhehebu. kipi tunatafuta binadamu??? upendo pekee ndio msingi mengine yote ni Maua tu juu ya kaburi. hayamfufui marehemu.

MKUU, UPENDO WA KIFISI ??
 
Zaidi ya Mashahidi ya Yehova, dini zingine ni upuuzi tu.
Mashahidi wa Yehova wanywao ponbe ndo dini ya kweli huku wakimshusha Yesu ukuu wake kwa kusema Yesu ni mzaliwa wa kwanza, wala hana mamlaka ya ki-Mungu?

Mtazame Charles Taze Russell akitoka kule ktk chama kubwa kuja kuanzisha dhehebu la Jehovah's Witnesses na kuja na uchafu kutoka kule n mambo ya ajabu sn. Tuishie hapo. .............................
 
Unamsubiri masia ea kwanza au wa pili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…