Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi elewa🤣🤣🤣🤣🤣kwani ukiivaa ina camera?
Asante kwa muongozo mkuu, kuna namna ya kufahamu original ama fake maana matapeli nao wamekuwa wengi mjini, warranty n.kNenda Kko ule mtaa wa Tandamti kuna masonry wengi,ila ingratiate hii Gold current 18 gram ni sh 250,000 na gold current 21 ni 265,000....na hakuna pete ya uchumba yenye gram 1....nyingi zinaanzia 1 na point kadhaa labda uwe na pesa kuanzia laki 3
Nenda Hapo Mnazi Mmoja Ulizaa Mtaa Wa Kitumbini Utapata Juwellers Shop Tele Unaamua Tu Na Mfuko WakoHabari wadau Mimi naomba kufahamu kwa Dar ni wapi ninaweza kupata Pete nzuri za uchumba kwa bei nafuu. Angalau gram 2 za gold mix na tanzanite
Asante
Ninaye bila shaka.Na bado upo na mke wako?
kuvua pete ya ndoa kwa mwanandoa ni sawa na kutikisa au kuhatarisha uimara wa agano la ndoa, na pengine inaweza kupelekea kuvunja ndoa kabisa.Morning,
Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni?
Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika, unaweza kujipumzisha kidogo? Au ndio zinapotea kwa njia ya kutatanisha kama wananzengo wanavyodai? Hebu wazoefu niambieni maana kuna jambo linanitatiza.
Have lovely weekend guys
🤣🤣 Ndoa ni moyoni na siyo maonyesho....Mimi katika mafundisho ya ndoa, sikupata kufundishwa matumizi sahihi ya pete hiyo ya ndoa baada ya tukio la kuvalishana wakati wa kufunga ndoa.
Na ni kweli baada ya hapo, sijawahi kusikia hata siku moja baada ya tukio hilo pete hiyo ikihitajika popote ama katika tukio lolote, sasa yapata takribani miaka 40 na sikumbuki ilipotea poteaje.
Kwa sababu upendo wa mumewe kauweka kwenye Pete....anapoitoa anakuwa huru,akivaa anajihisi kaolewa tena....ila kiuhalisia mume hayupo moyoni kwakeHata mke wa mtu akienda kwa mcheps hua anavua pete zake na kuziweka kwenye pochi
Utamuona akivaa baada ya show akiwa na furaha ya kit**bo
Over
Naona dawa inaingia taratiibuBado Hamjasema
Kwani nawabaka sii wanakubali wenyewe...alafu mbona wao wanachezea hela zanguAcha kuchezea wadada wa watu😂
Amina kijana wangu wa Kiroho!Nimefurahi kukuona hapa my son in Christ hebu sasa mimi na wewe tuongee kiimani kabisa,mimi na wewe tunaongozwa na neno la Mungu,na neno la Mungu kwetu sisi ni Biblia takatifu,ila kila nikisoma kwa utashi wangu sijaona sehemu pete inaonyeshwa kama ndio itakuwa ishara ya agano la ndoa....ukiangalia ndoa zote tunazosoma kwenye neno la Mungu sijawahi ona sehemu inasisitiziwa pete au mwenzangu kuna sehemu umekutana nayo hii kitu nijuze tafadhali...kuvua pete ya ndoa kwa mwanandoa ni sawa na kutikisa au kuhatarisha uimara wa agano la ndoa, na pengine inaweza kupelekea kuvunja ndoa kabisa.
Mungu amewaunganisha Kiroho, na kuwafanya mwili moja. Pete zilizobarikiwa ni alama ya kimwili ya agano lenu la ndoa. Ni muhimu kuheshimu hiyo sio tu kwasasabu ya thamani na gharama ya pete yenyewe bali pia maana ya pete kiroho.
Usivunje agano hilo kwa kuvua pete ya ndoa ikiwa hakuna sababu ya maana ya kufanya hivyo.
ni sawa na kutubu dhambi, halafu baadae ukasema ngoja nitende tena dhambi kidogo nitatubu.
Msalaba bila Yesu ndani yake ni mti tu. Ni muhimu kubeba msalaba kamili na Yesu akiwa ndani ya masala huo.
Ndoa takatifu ni msalaba Mtakatifu, ni muhimu sana kuubeba bila kuchoka wala manung'uniko bali kwa furaha, ustahimilivu, amani na upendo.
usivue pete ya ndoa tafadhali.
Bwana asifiwe sana mama Joannah
Inategemea ndoa na ndoa,mimi na wake zangu huwa tunavuaMorning,
Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni?
Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika, unaweza kujipumzisha kidogo? Au ndio zinapotea kwa njia ya kutatanisha kama wananzengo wanavyodai? Hebu wazoefu niambieni maana kuna jambo linanitatiza.
Have lovely weekend guys