Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

Mwanaume anayevua pete akienda kwa mcheps huyo ni fala wakutupwa🤣🤣🤣🤣
Wanawake wenyewe hawa ata ukiwa na mke ndalama ikiwepo wanakupa tuu mbususu sasa unavua pete ili iweje?
Wee mcheps unamchana live mie nina mke na nina mpenda na sitamuwacha. Wee tuenjoy tuu hapa ukipata kidume wakukuoa wee olewa
Hahaha............Mchepuko lazima ajue una familia

Mambo ya kuficha ficha atakuja kukupigia saa 6 za Usiku akisema amekumisi

Baada ya hapo moto unawaka nyumbani 🙌
 
Sijwahi ivua toka imeingia kidoleni mwangu...labda mazoea tuu...mpk ukivua unaacha alama ya pete iloyojichimba haswa...wengine wanavua wanabadilisha mara silver sasa sijui hizo nazo zinakua za ndoa au urembo tuu...kuna best yangu anabadilisha mnoo..
 
20241002_175124.jpg
20241207_111019.jpg
 
kuvua pete ya ndoa kwa mwanandoa ni sawa na kutikisa au kuhatarisha uimara wa agano la ndoa, na pengine inaweza kupelekea kuvunja ndoa kabisa.

Mungu amewaunganisha Kiroho, na kuwafanya mwili moja. Pete zilizobarikiwa ni alama ya kimwili ya agano lenu la ndoa. Ni muhimu kuheshimu hiyo sio tu kwasasabu ya thamani na gharama ya pete yenyewe bali pia maana ya pete kiroho.

Usivunje agano hilo kwa kuvua pete ya ndoa ikiwa hakuna sababu ya maana ya kufanya hivyo.

ni sawa na kutubu dhambi, halafu baadae ukasema ngoja nitende tena dhambi kidogo nitatubu.

Msalaba bila Yesu ndani yake ni mti tu. Ni muhimu kubeba msalaba kamili na Yesu akiwa ndani ya masala huo.
Ndoa takatifu ni msalaba Mtakatifu, ni muhimu sana kuubeba bila kuchoka wala manung'uniko bali kwa furaha, ustahimilivu, amani na upendo.

usivue pete ya ndoa tafadhali.

Bwana asifiwe sana mama Joannah
Nje na uchawa kumbe huwa unakua na akili hivi
...
 
Back
Top Bottom