Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

Hahaha............Mchepuko lazima ajue una familia

Mambo ya kuficha ficha atakuja kukupigia saa 6 za Usiku akisema amekumisi

Baada ya hapo moto unawaka nyumbani 🙌
 
Sijwahi ivua toka imeingia kidoleni mwangu...labda mazoea tuu...mpk ukivua unaacha alama ya pete iloyojichimba haswa...wengine wanavua wanabadilisha mara silver sasa sijui hizo nazo zinakua za ndoa au urembo tuu...kuna best yangu anabadilisha mnoo..
 
Nje na uchawa kumbe huwa unakua na akili hivi
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…