Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

Nje na uchawa kumbe huwa unakua na akili hivi
...
Gentleman,
huenda una pepo, siana cha kukufadhili,
ila nakuombea baraka na neema tele za Mungu katika kazi na majukumu yako ya kila siku

nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya 2025
 
Tabora mke wa mtu umri miaka 50 mwenye pete amekutwa amekufa akiwa na mchepuko mjeshi mstaafu huko Tabora.

Yaani mtu mzima wa 50 yrs bado anaendekeza ufuska wakati una mme.
 
Ovaletedi tuuu, mbona zamani ndoa zilifungwa kukiwa hakuna haya maurembo yenu ya sikuihizi, si tunajifunza kutoka kwa vitabu vitakatifu?.
 
La mama siku ya kujifungua uchungu ukigoma huwa wanazivua. Kuna muda imani zinafurahisha na kushangaza sana
 
Ni imani tu za watu, kuvaa Pete 24/7 inachosha ila lwa sababu ni imani, na tunasoma imani ina uwezo wa kuhamisha milima basi tuwaache wavae pete.

Sisi wasabato hatuna huo utaratibu, ukivaa ni kwa matakwa yako..
 
Kub
Kuvaa Pete ya ndoa ni UPUMBAVU, ni sawa na askari avae nyota yake Kila anapoenda ,ama mwenye degree abebe cheti chake kial aendapo.........uaminifu upo moyoni na ni ishara ya dhati uioneshayo wewe binafsi
 
Kub

Kuvaa Pete ya ndoa ni UPUMBAVU, ni sawa na askari avae nyota yake Kila anapoenda ,ama mwenye degree abebe cheti chake kial aendapo.........uaminifu upo moyoni na ni ishara ya dhati uioneshayo wewe binafsi
Oòhhh imekaa vizuri
 
We si uko busy na kko endelea na busy wako🤣🤣🤣
Naomba irudiwe yani inipite mimi last born wa familia?? 😹😹

Kkoo kunanifanya nakosa matukio muhimu, vijora vinanipeleka mbio aloo.!! 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…