Kabisa mkuu bhangi imepewa jina baya makusudi tu , yani mapombe yameruhusiwa eti ila bhngi imekatazwa loooooh.Halafu watu wengi tu smart wanapuliza bhangi. Ila ukiwaona kwenye biashara na makampuni huwezi kuamini
Tatizo watu wengi wanachukulia bhangi ni kama ya watu flani arosto na wakati ukiwakuta watu concious sanaa wengi tu wanavuta
Vijana wa kwa mama kibena kipindi hicho tulikua wamoto , hawa madogo sijui wamekuwaje now😅Formation + chabo, hii mbinu imeniokoa sana chuo baada ya kuona elimu ya chuo ni usanii sanii tu
UsikaliliHabari!
Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine.
Nitawashukuru sana.
Pale chini ya mnara wa simu DIT tumekunywa sana viroba na kuvuta bangi ila tulikua tunaandika code safi pia bila kukariri vitiniIli ufaulu acha kuwaza mipombe, michepuko, mibangi, vikoba
na kubeti
Pombe ina addiction kubwa sana Ila kwa sababu ni sehemu ya tamaduni zetu tunaichukulia sawa. Ila bhangi ni ya sehemu chache na mara nyingi inatumiwa vijiweni ambapo watu wengi wanafanya uhalifu kwa hiyo imehusianishwa directly na ubaya tu brotherKabisa mkuu bhangi imepewa jina baya makusudi tu , yani mapombe yameruhusiwa eti ila bhngi imekatazwa loooooh.
Level ya chuo kikuu ndio rahisi kuliko Ordinary Level na A-Level. Sikuwa mzuri wa kukariri hivyo ile style ya kusoma miaka minne halafu ukumbuke mambo yote kwa siku moja ilikuwa ngumu kwangu🤣! NECTA waliofaulu ni wale wenye cramming capacity ya hali ya juu. The most gifted.Level ya Chuo Kikuu
Kabisa jamani mambo ni magumu sana 😅Level ya chuo kikuu ndio rahisi kuliko Ordinary Level na A-Level. Sikuwa mzuri wa kukariri hivyo ile style ya kusoma miaka minne halafu ukumbuke mambo yote kwa siku moja ilikuwa ngumu kwangu🤣! NECTA waliofaulu ni wale wenye cramming capacity ya hali ya juu. The most gifted.
I would consider chuo kikuu as the best level in academics. Kimsingi ni mahali ambapo shule ilikuwa nyepesi sana. Imagine vitu mnasoma vya miezi minne tu kisha mnaachana navyo. Haukuti mwaka wa tatu kuulizwa mambo ya mwaka wa kwanza.
Ningekuwa raisi ningeweka mtaala toka primary watu wasome kila darasa kivyake. Yani ukimaliza ya form one unaachana nayo for good.
Njia pekee ya kufaulu ni kuhakikisha wee ni domo zege.Usichanganye mambo wakàti unasoma, hakikisha umesahau yote bakisha kusoma tuu.
Kàma una nyege hakikisha umepata ushauri kwa mzabzab kabla ya kushika kitabu.
Hiyo wanayovuta wahuni sio bhange ni makushabu mkuu😁😁😁Pombe ina addiction kubwa sana Ila kwa sababu ni sehemu ya tamaduni zetu tunaichukulia sawa. Ila bhangi ni ya sehemu chache na mara nyingi inatumiwa vijiweni ambapo watu wengi wanafanya uhalifu kwa hiyo imehusianishwa directly na ubaya tu brother
Ila kuna watu wanavuta na wapo fresh kabisa
Chabo si aibu, ni mbinu ya kufaulu.Hapo kwenye Chabo hapo sitaki kujiaibisha 😅😜😜 hayo mengine ntazingatia. Asante Bro.
Gamba sijui ni kitu gani bibie.Hivi Gomba ndo Bhangi 😅mbona hadi ina Big G zake
Njoo tujifungie sehemu ili tusome kwa utulivu. Material yatapanda tu yenyewe automatically.Habari!
Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine.
Nitawashukuru sana.