Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

Nitabirie na mimi jamani πŸ˜…
 
Asante kwa ushauri mzuri. Nitaufanyia kazi.
 
Punguza stress ni adui wa masomo. Yaani wekeza akili pale kwenye somo husika bebesha mzigo kama kwamba ukiteleza kidogo tu unapoteza mamilioni weee kila kitu kitajazana kichwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona kila nikisoma vinafutika πŸ˜…
 
Punguza stress ni adui wa masomo. Yaani wekeza akili pale kwenye somo husika bebesha mzigo kama kwamba ukiteleza kidogo tu unapoteza mamilioni weee kila kitu kitajazana kichwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii njia nzuri sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wacha niizingatie kabisa hasa hapo kwenye kupoteza mamilioni ya Pesa
 
Week Picha ya Lissu Ukutani! Angalia Huku Inasoma Lazima Utalewa sana na Kufaulu!

Maana Lissu ni Muujiza Unaoishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…