Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

hivi nyie watu ni wajinga au?........joyce amesema mume wake amepata hela nyumbani hakuna kitu na bado hatoi hata shilingi moja na watoto wanateseka....sasa huyo ni mtu gani ambae hajali hata watoto wake...huyo kilewo ni mjinga sana anafaa acharazwe viboko
 
Kakosea sana kutoa siri za familia hadharani.
Hapo mi ndio ninapowachukia wanawake
 
Sio kweli pesa za kujilusha awe nazo za chakula cha watoto zisiwepo kisha mambo haya hawaelewi yanawaathiri watoto kwa kiasi gani shule wanaathirika sana kisaikolojia shule wangeacha ugonvi uwe wao usihusishe watoto
soma vizuri uelewe amesema jamaa haachi hata shilingi kumi ya matumizi nyumbani watoto wanateseka wanahudumiwa na mke ...
 
Hata mimi nawashangaa hawa wanaoangalia upande mmoja tu! Joyce na Kilewo inaonesha wana joint account na hela hazitoki bila saini ya wote, mume kauchuna haweki saini watoto wana njaa!
 
Watu wengi wanacomment in one side ya kuona Mwanamke kakosea ila yapaswa kujua chanzo cha ugomvi mpaka Mwanamke kufikia uku..katika ndoa kila MTU ana wajibu wake kwa mwenzake jambo lolote linapotokea
Tatizo huyo malaya kaishia la saba B.
Hana akili kichwani.
 
Fanya utafiti mdogo utagundua kwamba kuna uhusiano na uchaga
 
Anachofanya sio busara lakini huwezi jua inaweza kuwa anahisi hasipoweka sababu za kuachana kwao hadharani basi watu wa siasa wanaomuhusu mumewe watakuja kupotosha ukweli na kumshambulia yeye ndio kimeo ana makosa na vitu kama hivyo.
Ambavyo kwa mtazamo wake vitagawa shabiki wake na kumharibia biashara zake.
 
soma vizuri uelewe amesema jamaa haachi hata shilingi kumi ya matumizi nyumbani watoto wanateseka wanahudumiwa na mke ...
Ndivyo ilivyo lakini hekima ilihitajika kwa mama aendelee kulea watoto kwakuwa mungu kamuwezesha akiendelea kutafuta suruhisho sio kumuanika hapa jiulize ni wazazi wangapi wanalea watoto peke yao tena kwa kutembeza mihogo wengine kupika pombe iweje yeye kwa hari yake alalamike hivyo anajizalilisha kafeli mtihani wa kuwa mke mwema
 
Joyce pewa taraka nije chukua jiko mie niweke ndani... hatuta ishia bahari beach pekee... tutafika hadi ibiza...!

Joyce joyce.... weeeee.... ukichukua taraka iseme azalani ili nije kutimiza majukumu ya mume kwako joyce weeee....

Joyce nitakupata lini... mwanamke apigwi jamaniiiii... pwani imevamiwa na watu wa bara... wakina ngosha, wakurya nk.... kazi kupiga watoto wazuri
 
Mkuu naomba hii ikae juu pale kila mtu asome huu ujumbe tupate wachangiaji wenye hekima na ushauri
 
Yote utakutwa tunazugwa tu humu ili watu wajiendeshee mambo yao
 
Hivi huyu Dada hajafundwa jaman mbona kila kitu anatoa nje kumuacha uchi mume wake siku ya siku kumuacha hawezi anabaki kuaibika tu
Mkuu acha dada amwage nyongo ili awe na amani rohoni kamanda anakula byataaa kwa mwendo wa fast jet
 
Tunataka nae babawatoto wako atoe ya moyoni sio tahira akurupuke tu kama swala katishwa na simba wanaume sio wazungumzaji madhaifu ya wanawake adharani ila kuna kitu kikubwa kilichomfanya jamaa afanye hayo yote tatizo nyie ke ni wepesi sana kulia mkifanyiwa ubaya ila ni wepesi wakusahau chanzo all the Best bhn endelea kutumbua kama alikuona dekio, mbele za watu Leo anakuona jakaya kati muda wakustaafu ulishafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…