laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
hivi nyie watu ni wajinga au?........joyce amesema mume wake amepata hela nyumbani hakuna kitu na bado hatoi hata shilingi moja na watoto wanateseka....sasa huyo ni mtu gani ambae hajali hata watoto wake...huyo kilewo ni mjinga sana anafaa acharazwe vibokoUnajua ukipata nafasi ya kuwa mwanaume u will not judge..
Mwanaume ndio dira ya familia.. Na sio Leo tu for many years imekuwa hivyo. Tinafikiria tofauti sana.. Mwanaume ni kuwa ma uwezo kuwa kuthubutu..
Nahapo ndio usiri lazima uje.. Maana wanawake wanapenda assurance.. Kunapokuwa na tabu..baba anaondoka kwenda kutafuta nchi ya mbali sio kwamba hawapendi watoto..ila akibakia mtakula nn?!
Njaa ya siku moja haiui familia.. Na watoto watakula nn wakati huu baba anahangaika kutengeneza kikubwa cha baadae ..mama anakuwa mbunifu.. Ndio maana tuliwahi kunywa uji usiku tukiwa wadogo.. Kuvaa nguo za kaka yako siku ya sikukuu.. Maana hamfi kwa kukosa soseji Sikh mbili.. Mtafurahia sana kama matibabu na ada za chuo kikuu zitakuwepo pindi zinahitajika..
Familia itakuwa na raha zaidi kama wakati wa kuanza maisha watoto wazazi watakuwa financially stable wasiwasumbue watoto kutimiza ndoto zao.. Yote haya yanakuja na sacrifice.. Na hapo ndio kizazi chetu kinapokwama.. Hatujui kujitoa..we only live today!
Kwa kesi ya hawa wawili..kuna makando.kando mengi has a kwa huyu Dada.. She is entitled.. Na kwa watu Wa namna hiyo kaa nao mbali...wanaomini lazima wapate things their way..