Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

Akulapekeeyakee wafwatilieee chanzoo
 
PARAPANDAAAA ITALIAAA PARAPAANDAAA NILIWAHI ANDIKA HUKO NYUMA NAONAA JANA WAMEIPOKEAAA NA MKURUGENZI ATAKUWA AMEKWISHA NYAKULIWAAA KWENDA ..........NASUBIRIA ANAEFWATAAAA TUWENGINE TUNAMSIBA WA NDUGUKETU DK MINYEMBE MTUACHE TUZIKE KWANZA MTATUAMBIA MKURUGENZI KAPANGIWA WAPI
 
Afutwe Kaz kabsa huyu aiseee
 
Mkulu yumo huku sema id yake bado hatujaijua. Huwezi kubaki salama Kama dhambi zako zitaletwa jf. Kingwalangwala amenielewa. Mzee wa kustarehe na vibombardier vya bustani za nchi.
 
Yameshatimia asee Mkurugenzi V8 limemponza
 
Duuuu, parody la mkurugenzu tumbuliwa.
 
Watanzania hatujielewi? Kwanini twashabikia matumizi ya ovyo?hivi hapo Geita hakuna Mambo au kero zilizohitaji kutatuliwa mfano kero za madawati,ukosefu wa madarasa,hospital,madeni ya watumishi mfano likizo,uhamisho,matibabu nk.Haikuwa busara kama angeondoa hizo kero ndipo afikirie gari la anasa??
 
Ivi alienunua Gari ni nani hasa??? Nani aliidhiniisha fedha?? Mbona TEMESA sioni wakitajwa hapa...??
Ofisi ya PM vip mbona hamuwataji???
Jumba bovu mnamdondoshea mkurugenzi isijulikane kwamba huo ni mchakato na kulikua na uwezo wa kukataliwa mapema.
 
Ivi alienunua Gari ni nani hasa??? Nani aliidhiniisha fedha?? Mbona TEMESA sioni wakitajwa hapa...??
Ofisi ya PM vip mbona hamuwataji???
Jumba bovu mnamdondoshea mkurugenzi isijulikane kwamba huo ni mchakato na kulikua na uwezo wa kukataliwa mapema.
Iwe mchato iwe nini,alipaswa kutafakari.!!!
 
Kimsingi mambo ya Halmashauri yana michakato mirefu... DED asingeweza kufanya maamuzi peke yake.... Hiyo ni bajeti ya Halmashauri.. Inapitia katika vikao vyote halali na Msukuma ni mjumbe.... Hadi Baraza la madiwani inawasilishwa na kujadiliwa na kupitishwa... Kuna vikao vya DCC,RCC na kadhalika...wote hawa lazima waiangalie bajeti ya Halmashauri.. Ambayo kimsingi kulikuwa na kipengele cha kununua gari husika....

DED ameonewa......
 
Ila magari ya serikali kwani yanalipiwa kodi bandarini yakivuka. Maana 460M siyo poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…