Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Haka kajamaa huwa naona kama kalikosa virutubisho fulani utotoniMimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA.
Mara nyingi huwa ni timu za taifa lakini sio vilabu. Hauwezi kufanya jambo kama hilo kwa klabu fulani kwasababuNxhi ngapi zikichukua ubingwa au wakiwa live fainali wanapumzika.
Punguza userious na kasiriko aisee.
Mwagilia moyo na Yanga Afruca
Na wengine hata mpira hawaujuiMara nyingi huwa ni timu za taifa lakini sio vilabu. Hauwezi kufanya jambo kama hilo kwa klabu fulani kwasababu
1) utaonekana una mahaba pekee juu ya hiyo klabu
2) unaowasitishia shughuli zao ni watu waliochanganyika katika upenzi wa vilabu sio wote ni Yanga bali kuna wa Azam, Simba, n.k hivyo halina tija kwao kuwasitishia mambo yao ya kiuchumi.
Sure sema sio kosa lake.Haka kajamaa huwa naona kama kalikosa virutubisho fulani utotoni
Mnaumizwa sana na habari za yang'aa[emoji23]Alikua anasema tuu I think...
Yanga ni nini mpk tuache kufanya kazi
I think as much.Alikua anasema tuu I think...
Yanga ni nini mpk tuache kufanya kazi
Zimejaa mnoo mpk seva zinaelemewaMnaumizwa sana na habari za yang'aa[emoji23]
Yah sure...I think as much.
Kama wangekua serious, nadhani wange lodge ombi lao kwa rais kupitia channels za kiserikali (TFF-BMT-Wizara ya michezo). I think alikua anafurahisha genge tu, for the sake ya vibe na mzuka..!!