Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Common sense ni zero ndo sbabu hata mitume wa uongo ni wengi.

Huyo anasema alikutana na mungu akiwa darasa la tatu, halafu mungu huyo huyo kamuacha akisota Jela Butimba kwa karimi miezi kadhaa.

Kuna jamaa namjua hela ya kula kwake ni shida ila humkosi kwa mwamposa kila jumapili akinunua maji na mafuta ya upako.
 
Hata chombo Cha habari kinachomhoji nacho ni Cha ajabu!
 
Hili shankupe,Wacha lipige pesa,hii nchi inayoona ni Sawa kijana kasoma shahada ya udakitari,anaendesha bodaboda!!imejaa wajinga wengi sana.
Wengine wapo pale kwa Mwamposa,wanalala uwanjani,nje,chini,hawaigi,wamekuja kutafuta miujiza,
Sasa hv kila Kona ni kanisa,
Profesa PLO Lumumba,anaita "false industry
 
Matatizo ya afya ya akili ni makubwa sana nchi hii.
 
. Hata anayemuhoji hana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…