King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hili nalo neno😌Nchi huru hii, kwani anatofautigani na wanaoamini mbinguni unapewa mabikira?, ama kiarabu ndio lugha ya mbinguni? Si ndio kama yeye alivyosikia motoni watu wanaongea kisukuma[emoji1]
Kwa hiyo yule aliyepanda mbinguni na Buraq alikuwa Mkristu au ndo mambo ya kupigana fix?Ukiristo ndio dini pekee haina mipaka...yyte anaweza kuwa mungu au kuonana na mungu....
Kuna tofauti gani ya stori ya Zumaridi na ya Muhammad.Ujue hata Mayahudi walimcheka na kumdharau kama unavyomuona ZumaridiHtizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Hata Paulo alikutana na mungu yesu baada ya kuondoka rasmi duniani,usimlaum mungu wa huko ukristoni ni mtu simpo,maana alishawahi jichanganya kushuka duniani usiku,yakobo akamshtukia,zikapigwa usiku kucha mungu akapakachuliwa upaja alitakiwa kumbariki yakobo
Yeye hana shida wenye shida ya akili ni hao waliofanya naye kipindiDada ana shida ya akili au Ndio biashara kuwateka waumini wake maana kuna watz uelewa ni sifuri
Unamanisha yule shoga wairinga auHakika
Ujuaji wako umedhihirisha kwamba hujui lolote kuhusu Muhammad bila wewe kujua kwamba umedhihirisha,wanazuoni wa kiyahudi walijua kwamba patatokea nabii arabuni na dalili zake sababu walikua na elimu hiyoKuna tofauti gani ya stori ya Zumaridi na ya Muhammad.Ujue hata Mayahudi walimcheka na kumdharau kama unavyomuona Zumaridi
Kuna tofauti gani kati ya hawa walioenda mbinguni?Unatumia kigezo gani kitomuamini Zumaridi?Ujuaji wako umedhihirisha kwamba hujui lolote kuhusu Muhammad bila wewe kujua kwamba umedhihirisha,wanazuoni wa kiyahudi walijua kwamba patatokea nabii arabuni na dalili zake sababu walikua na elimu hiyo
Hii ni kweli, mwenzenu kaamua kuwa mwendawazimu ila kuta kuchwa kumfuatilia kwani aliwashikia bunduki au amefanya jinai yeyote. Pia kama ni maswala ya dini, Mungu anajitetea mwenyewe sasa sijui watu wanaangaika naye kwanini. Watanzania wengi sana tunapenda ujinga[emoji23][emoji23][emoji23] lakini hatujikubali kuwa ni wajinga.mfalme wa mchongo hana baya na mtu mwacheni avunje pesa za maboya wake.
Mjini kila mtu ana maboya wake kadhaa wa kuwapiga.
Kuna picha zake za utupu zitaLeakHawezi dumu miaka kumi
Kwani alitoa connectionKuna picha zake za utupu zitaLeak
Dini ambazo humtukuza mwanadamu sio diniDada ana shida ya akili au Ndio biashara kuwateka waumini wake maana kuna watz uelewa ni sifuri