Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Kiuhalisia jua lipo muda wote mchana na pia usiku,cha kujiuliza alijuaje kama ni jua kwa usiku kwaninni asingesema mwezi(ambapo uhakisi mwanga wa jua)?

Zumaridi analeta ucomedy sasa.
 
Nchi huru hii, kwani anatofautigani na wanaoamini mbinguni unapewa mabikira?, ama kiarabu ndio lugha ya mbinguni? Si ndio kama yeye alivyosikia motoni watu wanaongea kisukuma[emoji1]
Hili nalo neno😌
 
Ukimuamini Yesu au Muhammad halafu usimuamini huyu, wewe una ubaguzi dhidi ya Waafrika.

Ila sisi tusiomuamini Yesu wala Muhammad huyu naye tuna ruhusa ya kumuweka kapu moja na hao kina Yesu na Muhammad kama watu wanaojimwambafy tu.
 
Htizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?

Hata Paulo alikutana na mungu yesu baada ya kuondoka rasmi duniani,usimlaum mungu wa huko ukristoni ni mtu simpo,maana alishawahi jichanganya kushuka duniani usiku,yakobo akamshtukia,zikapigwa usiku kucha mungu akapakachuliwa upaja alitakiwa kumbariki yakobo
Kuna tofauti gani ya stori ya Zumaridi na ya Muhammad.Ujue hata Mayahudi walimcheka na kumdharau kama unavyomuona Zumaridi
 
Kuna tofauti gani ya stori ya Zumaridi na ya Muhammad.Ujue hata Mayahudi walimcheka na kumdharau kama unavyomuona Zumaridi
Ujuaji wako umedhihirisha kwamba hujui lolote kuhusu Muhammad bila wewe kujua kwamba umedhihirisha,wanazuoni wa kiyahudi walijua kwamba patatokea nabii arabuni na dalili zake sababu walikua na elimu hiyo
 
Ujuaji wako umedhihirisha kwamba hujui lolote kuhusu Muhammad bila wewe kujua kwamba umedhihirisha,wanazuoni wa kiyahudi walijua kwamba patatokea nabii arabuni na dalili zake sababu walikua na elimu hiyo
Kuna tofauti gani kati ya hawa walioenda mbinguni?Unatumia kigezo gani kitomuamini Zumaridi?
 
mfalme wa mchongo hana baya na mtu mwacheni avunje pesa za maboya wake.

Mjini kila mtu ana maboya wake kadhaa wa kuwapiga.
Hii ni kweli, mwenzenu kaamua kuwa mwendawazimu ila kuta kuchwa kumfuatilia kwani aliwashikia bunduki au amefanya jinai yeyote. Pia kama ni maswala ya dini, Mungu anajitetea mwenyewe sasa sijui watu wanaangaika naye kwanini. Watanzania wengi sana tunapenda ujinga[emoji23][emoji23][emoji23] lakini hatujikubali kuwa ni wajinga.
 
ANATUBEBA UFALA.
TUMFANYIE KAMA YESU WA TUNGARENI. HII PASAKA KAMA YEYE NI MUNGU BASI ATUPE MWANAE TUMSULUBISHE KAMA ILIVYOKUWA TABIA YA MUNGU
 
Huyu mmama Ana typical bipolar disorder au personality disorder

Kwanza Ana Inflated self-esteem or grandiosity

Pia Ana Flight of ideas or racing of thoughts ukimuobserve tu

Wasipomtibu huyu atafika pabaya
 
Back
Top Bottom