Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jana nikawa mtandaoni youtube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.
Je vigezo gani hayati alivitumia kumpa Uwaziri poti Kangi Lugola Ninja? Maana ni miongoni mwa watu wa hovyo kuwahi kushika madaraka hayo
Kama sikosei Mh. Nyang'anyi alikuwa mteuliwa wa JKN kihistoria naye akiwa head boy Minaki alikokuwa akifundisha mwalimu Nyerere.
Sijui alikosoma Nyang'anyi lakini najua alipofundisha Nyerere. Ni Pugu.
Kwakweli watz tumepitia mengi....Kwa Kangi umeenda mbali sana,shangaa kwanza kwa Jiwe kuwa Rais wa Tz
Unamzungzia mustafah Nyang'anyi?Alikuwa swahiba wa jiwe.
Lugora alikuwa head boy kwenye shule jiwe akiwa mwalimu.
Kama sikosei Mh. Nyang'anyi alikuwa mteuliwa wa JKN kihistoria naye akiwa head boy Minaki alikokuwa akifundisha mwalimu Nyerere.
Hiyo ndiyo Tanzania yetu kusikotakiwa katiba mpya.
Asante kunirekebisha neno "sikosei" lilikuwa na maana ya kuyabeba makosa makosa haya ukizingatia hatuko kwenye UE humu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Mwl Nyerere aliwahi kufundisha Pugu na wala sio MinakiAlikuwa swahiba wa jiwe.
Lugora alikuwa head boy kwenye shule jiwe akiwa mwalimu.
Kama sikosei Mh. Nyang'anyi alikuwa mteuliwa wa JKN kihistoria naye akiwa head boy Minaki alikokuwa akifundisha mwalimu Nyerere.
Hiyo ndiyo Tanzania yetu kusikotakiwa katiba mpya.
Puguboy naona unaarekebisha fasta upotoshaji huu.Mwl Nyerere aliwahi kufundisha Pugu na wala sio Minaki
Kuna watu wengine pamoja na umaarufu wao lakini kuwaita hayati unajisikia kama unakosea vile au unampa sifa asiyokuwa nayo.Ili mradi tu mumsimange Hayati
Upotoshaji haukubaliki mkuuPuguboy naona unaarekebisha fasta upotoshaji huu.
Huyo jamaa uliyemtaja hapo juu kwa kweli ni bogus sana, poor Songwe.Unashangaa kangi, Kuna mtu anaitwa mulugo na aliwai kuwa waziri.
Nchi yetu Ina bahati mbaya sana
Kama nilivyosema, sijui alikosoma Nyang'anyi. Kwa hiyo katika hilo, siwezi kukusahihisha. Kwa hiyo usipaniki. UE pia kuna watu wana-disco. Excellence inahitajika sana maishani kuliko kwenye mitihani.