Mwl Nyerere aliwahi kufundisha Pugu na wala sio Minaki
Minaki - Pugu ilikuwa slip ya tongue tu mkuu.
Hata huyo head boy alikuwa wa Pugu siyo Minaki.
Kwa mara nyingine niwashukuru kwenye kuweka rekodi sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwl Nyerere aliwahi kufundisha Pugu na wala sio Minaki
Kama sikosei Mh. Nyang'anyi alikuwa mteuliwa wa JKN kihistoria naye akiwa head boy Minaki alikokuwa akifundisha mwalimu Nyerere.
Kuna watu wengine pamoja na umaarufu wao lakini kuwaita hayati unajisikia kama unakosea vile au unampa sifa asiyokuwa nayo.
Hapo umeua bendi kabisa. Kuwa kwako alikuwa shujaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah unamuonea wivu Marehemu shujaa.
Mwalimu Nyerere hakuwahi kufundisha Shule ya MINAKI na Mustapha Nyang'anyi hakuwahi kusoma shule ile iliyotukuka!!! Hapo umechapia , Mwalimu alifundisha shule ya PUGU pale Mwakanga!! Mustapha hata hakusoma PUGU alisomea huka mkoani Dodoma!!
Alivutiwa na raba zake yani raba na sutiHayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.
Je, vigezo gani hayati alivitumia kumpa Uwaziri poti Kangi Lugola Ninja? Maana ni miongoni mwa watu wa hovyo kuwahi kushika madaraka hayo
Ndio, Mustapha Nyang'anyi hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Mwalimu na hakuwahi kusoma PUGU!!Ukishindwa kuliona neno "sikosei" utakuwa umeshindwa kujitendea haki. Kuna hata haja ya kuendelea na maelezo?
Tambua:
Kama JPM, JKN aliondoka na head boy Pwani - Pugu.
Hadi hapo unalo jingine?
Hapo umeua bendi kabisa. Kuwa kwako alikuwa shujaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio, Mustapha Nyang'anyi hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Mwalimu na hakuwahi kusoma PUGU!! Kama aliwahi kuwa head boy ni huko shule za mkoa wa Dodoma!
Nyerere hakuwahi kufundisha Minaki, alifundisha St Francis ambayo sasa ni Pugu sekondari. Usilishe watu matango pori hapa.Alikuwa swahiba wa jiwe.
Lugora alikuwa head boy kwenye shule jiwe akiwa mwalimu.
Kama sikosei Mh. Nyang'anyi alikuwa mteuliwa wa JKN kihistoria naye akiwa head boy Minaki alikokuwa akifundisha mwalimu Nyerere.
Hiyo ndiyo Tanzania yetu kusikotakiwa katiba mpya.
Na Mustafa Nyang'anyi hakusoma Pugu kwa taarifa yako.Asante kunirekebisha neno "sikosei" lilikuwa na maana ya kuyabeba makosa makosa haya ukizingatia hatuko kwenye UE humu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nyerere hakuwahi kufundisha Minaki, alifundisha St Francis ambayo sasa ni Pugu sekondari. Usilishe watu matango pori hapa.
Wala haikuwa nia kujikita kwenye correctness za majina.
Ila:
1. JKN alipotoka Pugu head boy aliula.
2. JPM kutoka Mwanza (sengerema) head boy aliula.
View attachment 2146012
Zingatia ukiona "kama sikosei" kutokea hapo majina yenu yatuhusu nini sisi wengine tulio komaa na bongo zetu to stay?
Hiiiiii bagosha!
Na Mustafa Nyang'anyi hakusoma Pugu kwa taarifa yako.
Mara nyingi watu wanaojinasibu kuwa wana akili huwa wanakuwa makini pia!! Ama sivyo watakuwa wanajilisha wenyewe matango pori!!!
Kabla ya kuwa waziri alikuwa ni mchangiaji mzr sana wa wizara hiyo. Lakini pia nae ni X polisi. Hivyo alitegemewa kuifahamu wizari na kwamba akuwa ni waziri chanya. Lakini matokeo yake akawa mkata viuno maarufu na mwenye sifa wa kuwaharibia anaowaongozaHayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.
Je, vigezo gani hayati alivitumia kumpa Uwaziri poti Kangi Lugola Ninja? Maana ni miongoni mwa watu wa hovyo kuwahi kushika madaraka hayo
UE ndio nini? Tuandike maneno ambayo ni common kwa wote, hata kama ni vifupisho. Sasa hapo mtu mwingine atafikiria ulimaanisha ultraedit, United Emirates, Unemployed Elites, nk.Asante kunirekebisha neno "sikosei" lilikuwa na maana ya kuyabeba makosa makosa haya ukizingatia hatuko kwenye UE humu.
Au nasema uongo ndugu zangu?