Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

Mustapha Nyang'anyi akiwa waziri wa uchukuzi alipata kashfa ya kununua kivuko chakavu "UNIFLOT' ambacho hakikuendana na gharama yake halisi!! Ilikuwa kashfa nzito ya ubadhirifu wa fedha za umma ambayo alipona kwasababu tu ya ukaribu wake na mwalimu!!
Wewe huna ishu, sasa huo ukaribu ulitokana na nini, maana mlitaka kutudanganya hapa kuwa eti alifundishwa na Mwalimu, wakati Mustafa alisoma Bihawana sec. Swali bado ni jee,Mwalimu ifundisha Bihawana? Na kwa taarifa yako nyingine Mwalimu hakuwahi kuwa na urafiki na fisadi yeyote !
 
Je unaifahamu au uliwahi kuisikia hiyo kashfa ya Mustapha Nyang'anyi kuhusu " KIVUKO? Kama hukuwahi basi usibishe, kwa wale waliomfahamu mwalimu, watakueleza kuwa alikuwa na tabia ya kutokuona makosa yakifanywa na wale aliowapenda na Mustapha Nyang'anyi alikuwa mmoja wao!! Ndio maana wengi wao hakuwatumbua bali alikuwa anawahamisha hamisha tu.!!
 
Wewe hebu tuambie umezaliwa mwaka gani ili tuanzie hapo.

Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.

Je, vigezo gani hayati alivitumia kumpa Uwaziri poti Kangi Lugola Ninja? Maana ni miongoni mwa watu wa hovyo kuwahi kushika madaraka hayo
Ungejiuliza alichaguliwaje kuwa Mbunge wa jimbo lake kabla ya kuteuliwa kuwa waziri.
 
Ndio maana tunahitaji sana Katiba Mpya
Vigezo alikuwa anavijua mteuaji mkuu hapa utaumiza kichwa bila majibu, kwani hawa wanaoteuliwa sasa nao unavifahamu vigezo vyao ni vipi wanavyoteuliwa?
 
Wewe hebu tuambie umezaliwa mwaka gani ili tuanzie hapo.

Tarehe ya kuzaliwa kwangu sio muhimu kwenye mada hii, umuhimu uko kwenye usahihi wa haya ninayosema kuhusu kuwepo kwa kashfa ya kivuko cha UNIFLOT na Mustapha nyanga'anyi!! Nilikuwa kuwepo wakati wa kashfa hiyo iliyomuhusu pia marehemu Col. mstaafu Kashmiri aliyekuwa dalali wa hiyo dili!!
Nimekuwepo kabla hata ya Nyerere kukabidhiwa bendera na waingereza!!!
 
Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.

Je, vigezo gani hayati alivitumia kumpa Uwaziri poti Kangi Lugola Ninja? Maana ni miongoni mwa watu wa hovyo kuwahi kushika madaraka hayo
Sukuma ndani
 
Kwanza alikuwa mwanafunzi wake na pili aliwahi kuwa ocd

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa swahiba wa jiwe.

Lugora alikuwa head boy kwenye shule jiwe akiwa mwalimu.

Kama sikosei Mh. Nyang'anyi alikuwa mteuliwa wa JKN kihistoria naye akiwa head boy alikokuwa akifundisha mwalimu Nyerere.

Hiyo ndiyo Tanzania yetu kusikotakiwa katiba mpya.
Nchi hii ina safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom