Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Taarifa hii ni potofu, Mustafa Nyang'anyi alikuwa mtangazaji RTD kwa miaka mingi tu kabla ya kuingia siasa n kuja kuwa waziri baadaye. Na wala hakuwa na dosari yoyote katika utumishi wakeSijapaniki wala siwezi kupaniki. Aghalabu hizi ni facts:
1. JKN alikuwa mwalimu mkoa wa pwani. Kutokea huko head boy aliula.
2. JPM alikuwa mwalimu mkoa wa Mwanza. Kutokea huko head boy aliula.
Tuna mambo mengi ya kufanya kuwekeza kwenye nitty gritty. Maana kamili ya kutumia acronym UE where the nitty gritty belong.
Ni hayo tu ndugu mjumbe.