Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

Taarifa hii ni potofu, Mustafa Nyang'anyi alikuwa mtangazaji RTD kwa miaka mingi tu kabla ya kuingia siasa n kuja kuwa waziri baadaye. Na wala hakuwa na dosari yoyote katika utumishi wake
 
Pamoja na yote ila nilifirahi majambazi walivyokuwa wanalazwa
Naona aliwekwa kwa sababu alitoboa siri kuwa majambazi walikuwa wanakula na wasio waadilifu kwenye nyadhifa zao

Kwa hiyo aliwekwa kwa makusudi na kazi maalum nafikiri
Ila majambazi sio watu
 
Minaki - Pugu ilikuwa slip ya tongue tu mkuu.

Hata huyo head boy alikuwa wa Pugu siyo Minaki.

Kwa mara nyingine niwashukuru kwenye kuweka rekodi sawa.
Hizi ni pumba tupu unawalisha watu. Labda tuambia umezaliwa mwaka gani na historia hiyo uliisoma wapi, na huyo Nyang'anyi alikuwa na dosari gani.
 
Ndio, Mustapha Nyang'anyi hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Mwalimu na hakuwahi kusoma PUGU!! Kama aliwahi kuwa head boy ni huko shule za mkoa wa Dodoma!
Ni kweli Mustafa Nyang'anyi alisoma Bihawana sec Dodoma, sasa huyu sijui anaokota wapi pumba hizi, labda anataka kutuambia Mwl alifundisha Biawana sec.
 
Unaelewa maana ya neno sikosei lakini mjomba?
Tunataka taarifa sahihi humu, tupo watu wa rika tofauti tofauti humu. Ukitia unajua vitu usivyovijua utaumbuliwa kama namna hii watu wabavyokuchapa za usoni humu.
 
Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.
Ana tabia za sodoma
 
Unamshangaa kangi?
Kuna Kalamavi ya Bundi
Dada Doro
Dada Joy na kiingereza Cha puani
Bashite kuongoza mkoa Kinara.
Mulugo ( are we serious)
Nduguyai kua sabufa
 
Vigezo alikuwa anavijua mteuaji mkuu hapa utaumiza kichwa bila majibu, kwani hawa wanaoteuliwa sasa nao unavifahamu vigezo vyao ni vipi wanavyoteuliwa?
Kwa sasa sifa mojawapo ya kuteuliwa ni kuwa mwanamke
 
Musiba alikua ni waziri asiye na wizara rasmi!

Nchi ilichezewa sana.
 
Taarifa hii ni potofu, Mustafa Nyang'anyi alikuwa mtangazaji RTD kwa miaka mingi tu kabla ya kuingia siasa n kuja kuwa waziri baadaye. Na wala hakuwa na dosari yoyote katika utumishi wake

Mustapha Nyang'anyi akiwa waziri wa uchukuzi alipata kashfa ya kununua kivuko chakavu "UNIFLOT' ambacho hakikuendana na gharama yake halisi!! Ilikuwa kashfa nzito ya ubadhirifu wa fedha za umma ambayo alipona kwasababu tu ya ukaribu wake na mwalimu!!
 
Usije shangaa Sana 2025,
1.zumaridi kuwa mbunge wa kuteliuwa chini ya chama chake cha ccm
2. Musiba kuwa waziri wa ndani na Membe kuwa Naibu wake
3. nabii tito kuja kuwa Jaji wa mahakama kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…