Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

Unashangaa kangi, Kuna mtu anaitwa mulugo na aliwai kuwa waziri.
Nchi yetu Ina bahati mbaya sana
Akhkh umenikumbusha alipokuwa kule sauzi kwenye kikao akasema Tanzania ni muungano wa visiwa cha zanzibar na milima ya Zimbabwe! Huyu mwamba aliteuliwa na kikwete kutokana na kuwa mahiri kwenye nyimbo za kampeni 2005
 
Wa hovyo kwako, kila mTanzania ana haki, hakufika pale kipuuzi kama unavyofikiri wewe, mbaya zaidi inawezekana wewe ukawa ndiyo wa hovyo zaidi kuliko yeye
 
aliweza kuimba mapambio vizuri.... hasa yale ya kuonesha kwamba yeye ni KATILI kama JPM
 
Shule gani hiyo walikutana Kangi na Magufuli enzi hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…