Introvert Music
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,044
- 2,831
Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwamba anajitafuta Kwa mbinu zote halali Ili akitoka asiweze kurudi kwao Wala kuiba Mali za watu Kwa kukosa mlo na anasema yeye Hana familia yeyote kiufupi yupo mwenyewe tu Hana mtoto Wala demu Sasa nauliza wakuu huyu mtu mwenye umri huu kukaa nyumba Moja na wazazi si ni ujinga kabisa aisee