BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Mimi nina miaka 52 na niko kwetu natamba!Huyo kijana ambaye anagonga 28 š hom basi kuna namna either ni wa kishua.....
Ila kwa sisi wangu pakavu tia mchuzi
Mimi nina miaka 52 na niko kwetu natamba!Huyo kijana ambaye anagonga 28 š hom basi kuna namna either ni wa kishua.....
Ila kwa sisi wangu pakavu tia mchuzi
Aisee ni hatariBora ingekuwa hayo TU ,usiku Leo kaja kusikilizia dirishani navyomkaza mama yake...... hovyo sana huyu mtoto
ššššššKila mtu aende nyumbani kwao, na baba naye aende kwa baba yake.
Kila mtu aende kwa baba yake kama Yesu. Tusivurugane kabisa.
Niko kwetu, sitaki fujo.
Cc: Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Mbaga Jr cocastic Lamomy Extrovert Poor Brain min -me secretarybird
Sihami.Mkuu hama hapo
KabisaWatoke magheton, gademiiit.
We unavyoona ni sawa sioukiwahi kujipata unaweza fikiri wengine hawana akili na hawajielewi
alafu wakati mwingine unawabeza wa umri huo unakuta wewe kazi hiyo umeipata kwa kushikwa mkono na wala sio upambanaji na ujuzi wako
tuendelee kuwaombea na wao wapate pa kushika waache kuhangaika
ššš¤£š¤£š¤£š¤£ hatutokiiWatoke magheton, gademiiit.
Toka mkuu ,dunia ni pana sio lazima kufa maskini huku umejifungua tu ndani gademiiit.ššš¤£š¤£š¤£š¤£ hatutokii
We mwenye akili mbona huna pesaJifunze kuweka nukta, alama ya mkato na paragraph.
Mbali na hapo wewe huna akili.
Wazazi tumesema mtoke magheton ,gademiiit.Nafikiri kukaa nyumbani sio shida, shida ni unakaaje...
Tusubiri wazazi wa humu waje waseme yao.
Hao ni wahindi na wachina sisi wamatumbi toka kale vijana wanatoka maghetoni kuwinda huko maporiniš¤Wahindi, na Wachina Wachina wanasemaje kwenye maghorofa Yao hapo dar?
Kama walokolewe wwnyewe kama wewe bora niwe mpagani tuu𤣠Nadhani kaelewa ....afu wewe...utaokoka lini?
š¤£š¤£š¤£ Haoni kuwa mi ni mfano bora wa wapiga selfie...š®Kama walokolewe wwnyewe kama wewe bora niwe mpagani tuu
Eti mfano bora wa mpiga selfieš¤£š¤£š¤£ Haoni kuwa mi ni mfano bora wa wapiga selfie...š®