Hivi inakuaje baba kijana wa miaka 28 anaishi Kwa wazazi wake nyumba moja

Hivi inakuaje baba kijana wa miaka 28 anaishi Kwa wazazi wake nyumba moja

Uwagee unavutia picha yangu nakudinya wakati wa kujiselfie
Matusi umeanza lini mkuu?
Nivutie unanifanyaje? Labda kama story za okra ni changamsha genge tu....ila kama ni kweli🤒🙄
 
Kwanza wamenizaa bila ruhusa yangu pili future yangu ipo mikononi mwangu kitu ambacho sikujiandaa nacho kabla sizaliwa wangeniambia kwanza kwaiyo waniache
 
Mm Nna 32 na nipo kwa shangazi, nitaondoka hapa nikishajipanga mana bado sina kazi sasa niondoke then nitaishi vp
 
Back
Top Bottom