Introvert Music
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,044
- 2,831
Yesu toka alivyopaa kurudi mbinguni kwa baba yake yapata miaka 2000 na bado anadunda huko mbinguni kwa baba yake..wew kinyamkela unaleta nongwa kwa kichanga wa miaka 28, au wew wazazi wako hawakujenga ??..kuwa na adabu!!Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja pm analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwaoba anajitafuta Kwa mbinu zote Ili akitoka asiweze kurudi kwao na anasema yeye Hana familia yeyote kiufupi yupo mwenyewe tu Sasa nauliza wakuu huyu mtu mwenye umri huu kukaa nyumba Moja na wazazi si ni ujinga kabisa aisee
Nimeuliza tu ni sahihiau si sahihi naona hata hujachangia chochote kinacchoelewekaNi sawa na mtu anapesa zake mjini,then unamjudge kuwa yeye ni freemason....
Mi nadhani kilamtu aishi apendavyo mkuu....kupangiana siyo poa
Kama unaakili utajua kuwa nimechangia pakubwa sana mkuuNimeuliza tu ni sahihiau si sahihi naona hata hujachangia chochote
OkayKama unaakili utajua kuwa nimechangia pakubwa sana mkuu
Ndiyo kalumbuOkay
Zingatia madaYesu toka alivyopaa kurudi mbinguni kwa baba yake yapata miaka 2000 na bado anadunda huko mbinguni kwa baba yake..wew kinyamkela unaleta nongwa kwa kichanga wa miaka 28, au wew wazazi wako hawakujenga ??..kuwa na adabu!!
AiseeKama hawanitaki waondoke nao waende kwa wazazi wao.... Nikiwa kwa wazazi wangu sitaki bugudha kabisa
G, hakuna mtoto alitaka kuzaliwa....hivyo kumfikisha mahala pazuri ni jukumu lako mzazi...sasa kama hajajipata aende wapi,eti?Aisee
Walimu mnakazi sanaaaaaKama unaakili utajua kuwa nimechangia pakubwa sana mkuu
Mkuu hama hapoKila mtu aende nyumbani kwao, na baba nae anende kwa baba ake.
Kila mtu aende kwa baba ake kama Yesu. Tusivurugane kabisa.
Niko kwetu, sitaki fujo.
🤣 Nadhani kaelewa ....afu wewe...utaokoka lini?Walimu mnakazi sanaaaaa