Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

afadhali umenitoa tongo maana kuna mmoja anaishi kwangu ana 34yrs. Hadi sabuni anagongea, na akikuta mtoto kaacha kikombe kwenye korido haokoti. Dunia ina mambo sana, kisa anategemea dadaake atamkingia kifua
 
Vya sirini huko hujui wanapeanaje..... wacha amlilie tu
Kuna psychological disorder hapo. Tulitarajia huo ujinga waufanye vijana kati ya miaka 15 na 20 ambayo tunaita adolesce age, umri flani vijana wanajiona wamekua. Kwenye psychology tunaita foolish age. Sasa mtu wa 31 yrs bado anafanya mambo ya mtu wa 15 yrs, lazima tuhitimishee kuwa jamaa ana tatizo la akili. Yaani bado yuko anatawaliwa na emotions zaidi kuliko akili.
 
We nyamaza,lile shimo utamu wake balaa,kulia ni sawa tu
 
Bora sasa hivi mkuu ,enzi sisi tunakua majamaa walikuwa wanajiua sana kwa mapenzi....Yaani wewe unavyoona hivyo kulia unashangaa basi ungekulia era yetu nadhani ungeshangaa zaidi ,masela wengi wamekunywa sumu kisa mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…