Kwahiyo ulitegemea classroom questions za masomo uliyokariri chuoni?Uko high wakati basics huna!!! huelewi hata currency yako mwenyewe!! Financial management of what wakati hata hela yenyewe huijui!!!!So what?,Ukijua mnyama gani kwenye elfu 10 ndio inakusaidia nini kwenye managerial decisions and fund management??,Just give me the connection(s)..
Mwaka 2017 au 2018 pana nafasi zilitangazwa na taasisi moja na kupatikana watahiniwa kama 15 hivi.Wewe ndo ujielewi sasa aliyekwambia utaulizwa maswali yako uliyosoma ukiwa class ni nani? Unajua maana halisi ya interview wewe??[emoji848]
Nani amekwambia umuulizwe maswali ya classroom??,Muulize vitu vitu vya kupima uelewa na wepesi wa ku reason sio huo ujinga wa kukariri ambao hauma maana yoyote...Mfano kwenye field ya mikopo kuna tactical qns kibao unaweza uliza mtu za kutumia common reasoning na ukajua uwezo wake wa utandaji na akili pia..Hao consultant nao walitaka kumaliza zoezi mapema wachukue chao,its business ila usije kutukana vijana hapa wa upuuzi wenu...Kwa hiyo ulitegemea Classroom questions za masomo uliyokariri chuoni?Uko high wakati basics huna!!! huelewi hata currency yako mwenyewe!! Financial.management of what wakati hata hela yenyewe huijui!!!!
Ndio, mambo ya mzaha mzaha kama ya Usimba na Uyanga hayatakiwi kwenye baadhi ya taasisi.Safi sana. Huyo Consultant ni smart sana. Hakuna haja ya kuuliza maswali complicated, ya nini? Maswali simple ndio mazuri kwa sababu yanapima kilichobaki baada ya kupata Masters na CPA yako.
Next time hao watahiniwa watakuwa wanajua mpk sh 50 ina mnyama gani.
Nimewakubali sana YEHODAYA
Bora angewapa kigezo Cha kutofautisha note fake na original!!Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?
Finance Manager
Kama wangekua wanaijua si wangemtaja Tembo tu!!Na wewe unaamini kabisa kwamba jamaa elfu 10 haijui? Tatizo mnakuwa mmeshaandaa watu wenu
Wasomi wengi wa siku hizi hawajui nini maana halisi ya interview! Kuna muda mwingine japokua watu wanajua umesoma sana,lakini tungependa kujua uwelewa wako kwa Mambo ya kawaida tu ukoje!! Sasa wao wamesha kariri ma formula kichwani,Sasa wakikutana na swali simple ndiyo wanazidi kupagawa badala watulize akili kwanza na jibu lingekuja kilaini! Sema wao swali liliwapagawisha!!great answer short and clear
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana Jamii forums naomba ufafanuzi. Nimechoka Leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad
Aliyeuliza swali hilo kwenye interview ndiyo ana matatizo, ni mjinga. Mtu amesomea taaluma makini kama Finance, unamuuliza swali la namna hiyo, lina tija gani kwake au hata kwa taifa? Kwani alisoma Finance ili ajue kuna picha gani kwenye noti zetu? Ingeleta mantiki kidogo kama angeuliza swali kama "nitajie marais ambao picha zao zimewahi kuwepo kwenye noti zetu. Taaluma ya finance na mtu kukariri picha zilizoko kwenye noti vina uhsiano gani? Haya ni maswali ambayo wanatakiwa kuulizwa watoto wa kenye Ubongo Kids na si kwa mtu msomi aliyehititmu finance akiwa kwenye interview. Ni ujingaNimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana Jamii forums naomba ufafanuzi. Nimechoka Leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad
Nilifikiri kwenye ushabiki wa siasa ndio unakuwa mweupe, kumbe ni kote kote.Vyote viwili .Unasoma mambo ya pesa miaka kibao na digrii kibao za mambo ya pesa halafu pesa yenyewe huijui!!! pana maneno hapo!!!
Kwanza umeonesha roho ya kimbea eti 'nikachungulia'Leo nimemkuta binti kwenye daladala anajisomea.
Nikachungulia nikaona
Types of listening
Importance of listening.
Nikasema kama University kwenyewe wanafundisha upumbavu huu ni heri mwanangu P aishie form four nimpe mtaji akalime parachichi za kisasa.