AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Mkuu hata wewe hayo yangekukumba ,mtu katoka chuoni,kamaliza degree ga kwanza ,kaunganisha masters . Sasa hapo kaenda kusoma picha za fedha?au kaenda kusomea usimamizi wa rasilimali fedha?...Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana Jamii forums naomba ufafanuzi. Nimechoka Leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad
Uchumi tunaoelekea ni digital ,Fedha ni only numbners .mfano kuna taasisi hawajawahi shika cash ofisini , kila kitu konafanyika bank ,tena kupitia internet banking ,mhasibu akienda bank ni kufanya transfer.
Hilo swali ni la kupunguza tu competition ,lakini sio lerevant kwa maoni yangu, sio ligezo cha kumkosoa msomi .Hata ambae anaijua hela anaweza sahau picha ya mnyama ,lakini anaijua elf 10 akiiona
Mngeuliza anawezaje kuizalisha elfu , au kuepusha foreign exchange risk kwenye pesa za kampuni,hapo sawa....